- Thread starter
- #21
Mkuu hizi ni taarifa kutoka field.Ni Dhahiri shahiri kuwa haya ni maneno ya wapinzani wa CCM huko Zanzibar wakijificha chini na ndani ya kichaka cha UTAFITI NA UCHAMBUZI. Fumbo mfumbie mjinga yahe mwerevu atalibaini tu. Tumeshabaini rongo rongo na choko choko zenu wapinzani, kwa vile hamna pa kutokea, sasa mnataka kujikita ndani ya ubaguzi wa kitoto, wa huyu Mzanzibari Asili na huyu siyo au huyu Mpemba na huyu Mzanzibari na MZANZIBARA! Tunazijua hizo zote na kama wasemavyo TCRA, Mjanja Haingizwi Chaka!
Sio lengo LA mwandishi kuzungumzia ukabila wala urangi.
Kwa sasa hizo ndio taarifa zilizopo. Upepo unaweza kubadilika vile vile.
wenye kazi zao watajua cha kufanya ila huo ndio mrejesho.
Huko chini kuna hizo sauti. Wenyewe wanasema wakizubaa tu Zanzibar fyee.
Huu uchaguzi unanasibishwa na hatma ya Zanzibar. Wanaainisha viashiria vyote vya kuimaliza Zanzibar.
Hata hivyo pengine ni uchungu.
Muda utasema