Zanzibar 2020 Kuna kijungu kinapigwa Visiwani, ni Uchaguzi wa hatma ya Zanzibar

Zanzibar 2020 Kuna kijungu kinapigwa Visiwani, ni Uchaguzi wa hatma ya Zanzibar

WanaCCM tunaopenda ukweli, basi ni huu " MAGUFULI UMEMPA USHINDI MAALIM SEIF KWENYE SAHANI YA DHAHABU"

Magufuli unaiuwa CCM yetu, huna dhamira nzuri na chama chetu, tunajua hadi yako kwa mzee mwinyi, na sasa Ahadi yako kwa Lowassa.
Ushindi huo kwa tume ipi?
 
Kama kweli amekataliwa na znz wote ina maana atapata kura moja ambayo ni yake.
Nasubiri hili litokee ili uwe right otherwise ni unafiki wa kisiasa tu. Yaani hata baba yake na mkewe?
Muda utaongea.
Baba yake na mama yake hawana vitambulisho vya ukaazi wa Zanzibar kwa hivyo hawana rukra kupiga kura Zanzibar
 
Kwani nani mwenye asili ya Zanzibar wengi wana asili ya Bara
That is HISTORY! Hata huku kwetu Bara unaweza kuuliza swali hilo. Hata huko USA unaweza kuuliza swali hilo. Hata huko sijuiwapi unaweza kuuliza swali hilo. Jibu lake kwa maswali yote hayo ni kuwa yote hiyo ni HISTORIA! Hivyo twende na the reality on the scene and on issues. AU SIYO?
 
Baba yake na mama yake hawana vitambulisho vya ukaazi wa Zanzibar kwa hivyo hawana rukra kupiga kura Zanzibar
sawa, itabaki kura yake moja peke yake. Tuonane Oct ili ku-prove jamaa wazanzibar hawampendi.
 
Katika hotuba ya JPM aliwaambia kuwa waache Upemba na Uunguja, Ukaskazini na Ukusini. Anawajua vyema CCM Zanzibar wasiposhikwa masikio watakuja kuibomoa, njia pekee ya kuwaweka sawa ni kuwachagulia kiongozi anaetakiwa na Bara.

CCM zanzibar ndio chama chenye kuleta ubaguzi, wao wenyewe kwa wenyewe wanabaguana. Chama kipo ICU kwenye ventilator, CCM bara ndio wanakiokoa. Juzi siku ya kukaribishw Huseein naona mzee Amani Karume amesusia mkono wa Balozi Seif, mambo ya kina WCB na Ali kibakuli 😀

Ila piga uwa, Hussein ndio rais wa Zanzibar.... hata asipopata kura hata moja.
 
p
WanaCCM tunaopenda ukweli, basi ni huu " MAGUFULI UMEMPA USHINDI MAALIM SEIF KWENYE SAHANI YA DHAHABU"

Magufuli unaiuwa CCM yetu, huna dhamira nzuri na chama chetu, tunajua hadi yako kwa mzee mwinyi, na sasa Ahadi yako kwa Lowassa.
Piga, ua, garagaza Maalim Seif hawezi kuupata Urais wa Zanzibar! Huo ndio ukweli wa mambo na hizo habari kwamba eti Maalim Seif huwa anashinda uchaguzi huko Zanzibar ila anaibiwa kura ni maneno ya kujipa matumaini "hewa" na ni vijineno wanavyopenda kuvisikia wapinzani aidha Zanzibar au hata Bara; na juzi mmemsikia Membe akivisema tena, hizo ni political gimmicks za kuwapendezesha na kuwafurahisha tu. Hamna ushindi wala nini.
 
Kama kweli amekataliwa na Zanzibar wote ina maana atapata kura moja ambayo ni yake. Nasubiri hili litokee ili uwe right otherwise ni unafiki wa kisiasa tu. Yaani hata baba yake na mkewe?

Muda utaongea.
Husein Mwinyi si Mpiga kura wa Zanzibar,
kwa vile si mkaazi wa Zanzibar kwa Miaka 3 Mfululizo, atachaguliwa tuu lakini yeye hatopiga kura,wala mkewe, wala mzee Mwinyi, Hwa wote wanaishi Dar, watapiga ya Muungano tuu.
 
Nani mwenye habari za uhakika kukamatwa Serukambi Dodoma na pesa njingi sana ambazo zilitumika katika operation za uchaguzi wa Hussein Mwinyi.

Pia Inasemekana hizo pesa zimetoka kwa Rostam
Na sio Bakhresa !?
 
Watu wasiokuwa na nia safi wanaopenda mifarakano na kuendeleza siasa za chuki na ubaguzi Kwa maslahi wanayoyajua wao ndio wanaoeneza hizo propaganda. Lazima tuwapige vita watu wa aina hii Kwa mustakbali wa taifa letu
Utatusaidia sana ikiwa utakuwa mkweli kuyapiga vita haya ya Ubaguzi,ikiwa kweli wewe ni msamaria mwema, Lakini CCM hii ndio sera yao. Ubaguzi,
Hata Huyu Mwinyi wanaMbagua
CHOTARA
 

Attachments

  • machotara-CCM 2015.jpeg
    machotara-CCM 2015.jpeg
    52.1 KB · Views: 2
Husein Mwinyi si Mpiga kura wa Zanzibar,
kwa vile si mkaazi wa Zanzibar kwa Miaka 3 Mfululizo, atachaguliwa tuu lakini yeye hatopiga kura,wala mkewe, wala mzee Mwinyi, Hwa wote wanaishi Dar, watapiga ya Muungano tuu.
sawa, atapata kura sifuri coz jamaa kasema hakubariki na waznz wote. Nina imani kwa calc za jamaa, Maalim tayari mshindi kwa 99.9%
Tusubiri uchaguzi.
 
Zanzibar ni kisiwa kwa minajili hiyo Zanzibar hakuna mzawa usidanganyike. Wale wanaojihita waunguja ni wanzanzibara wazaramo, Wamakonde, Wanyamwezi, wangoni nk.

Na wale Wapemba ni masalia ya kiarabu kutoka kwa surutani. Leo natoa hofa pale Zanzibar kama unaweza kukuta kabuli la babu yake babu, au baba babu yake kabuli lake pale Zanzibar hakuna.

Wote historia yao hama isome bara kwa baba na mama au isome bara mama na baba ajulikani kama alivyo maalim seif sharif Hamad mwambieni awaonyeshe kabuli la baba yake pale Zanzibar au ndugu zake baba yake makabuli yao thubutu.

Kila siku unasikia hapa bara mbowe kafiwa na kaka yake, magu kafiwa na dada yake, kikwete nk, lini umesikia maalim seif kafiwa na ndugu yake pale Zanzibar jibu hana ndugu Zanzibar.
Hata kiswahili hujui Mtwana wewe.
Rudi shule kajifunze historia halisi,hii unayotuletea hapa imetungwa na Nyerere.
Usijisemee usilolijua.
Kuna watu wana makaburi ya wazazi wao tangia enzi za Nabii Suleiman na Na kuna Kumbu kumbu za miaka zaidi ya 2000 nyuma watu walipata kuishi hapa.
Na ndio Maana Ni Zanzibar ndioina MjiMkongwe wenye miaka 600 na ule wa Kizimkazi una Miaka 1000.

tembelea hapa.
Msikiti mkongwe zaidi Afrika Mashariki uko Zanzibar, ulijengwa na Wairani +PICHA
 
Hizi nazo ni porojo zinazotoka kwenye ramli chonganishi.

CCM itashinda na Dr. Mwinyi atakuwa rais wa Zanzibar.

Kama upinzani ulishindwa kushika dola Zanzibar mwaka 1995 na 2015 isahau kushika dola 2020.

Mvuto aliyokuwa nao Maalim Seif katika vipindi hivi hauwezi kuwa nao tena leo 2020 hu ndio ukweli mchungu lazima tuufahamu.

1. Maalim seif ameshajichokea angalau labda angelimuachia damu changa na kijana kama Mansour Yusuf Himid apambane na kijana mwenzake Dr Mwinyi afadhali kungelikuwepo na ushindani.

2. Kura za upinzani zitagawanyika sana hasa kwa vyama vya CuF na ACT na unajua kura za Zanzibar mshindi anaweza kuongoza kwa tofauti ya kura 50,000 kutawazwa Urais kumbuka uchahuzi wa mwaka 1995, 2000, 2010 na hata 2015.
Tofauti hizi ndogo ndio zitawapa mwanaya CCM kuibuka kidedea.

3. Linapokuja suala la kushika dola na kushinda uchaguzi CCM wanakuwa makini sana na watafanya lolote liliondani ya uwezo wao na lisilo ndani ya uwezo wao waweze kushinda(katika jambo ambalo pasina shaka kabisa CCM wanaliweza kuliko lote ni mbinu za ushindi kwa jua na mvua).

CCM haiwezi katu, asilani abadani kukubali kuiacha Zanzibar chini ya upinzani labda upinzani uanze kushinda huku bara. Kwa kuwa kule ni matawi tu huku bara ndio kuna mizizi.

Wapinzani anzeni kukata mzizi kabla ya matawi(Nyoka huanzwa kupigwa kichwani labla ya mkiani)
Tofauti ya kura 50,000? Tofauti mi kura 2000 tu!
 
Sasa sikia, wajumbe toka Zanzibar walikua 68,wale wagombea wawili kwa pamoja walipata kura 35,haya tuambie hizo kura 33 za hao wazanzibari wengine zilienda wapi?
Yeye anasema Mwinyi alipata 0. Ww unasema alipata 33. Tujuzeni kura zilipigwa kwa mfumo upi? Kura za wazi au siri? Takwimu sahihi ni zipi?
 
p

Piga, ua, garagaza Maalim Seif hawezi kuupata Urais wa Zanzibar! Huo ndio ukweli wa mambo na hizo habari kwamba eti Maalim Seif huwa anashinda uchaguzi huko Zanzibar ila anaibiwa kura ni maneno ya kujipa matumaini "hewa" na ni vijineno wanavyopenda kuvisikia wapinzani aidha Zanzibar au hata Bara; na juzi mmemsikia Membe akivisema tena, hizo ni political gimmicks za kuwapendezesha na kuwafurahisha tu. Hamna ushindi wala nini.
Hivi ni kws nini hasa Jecha alifuta ule uchaguzi 2015?
 
sawa, atapata kura sifuri coz jamaa kasema hakubariki na waznz wote. Nina imani kwa calc za jamaa, Maalim tayari mshindi kwa 99.9%
Tusubiri uchaguzi.
Mbunge wa jimbo anawezaje asiwe mkaazi wa sehemu anayo iwakilisha aidha Bungeni au kwenye Baraza?
 
Sio kweli wajumbe wa nec ccm Zanzibar jumla yake 68. 33 kati ya hao wamempa kura Dk Hussein. 35 wamegawana Dk Khalid na Mh Nahodha Kwa hiyo Dk Hussein Mwinyi amepata nusu ya kura za wajumbe wa nec kutoka Zanzibar.

Watu wasiokuwa na nia safi wanaopenda mifarakano na kuendeleza siasa za chuki na ubaguzi Kwa maslahi wanayoyajua wao ndio wanaoeneza hizo propaganda. Lazima tuwapige vita watu wa aina hii Kwa mustakbali wa taifa letu.
Chonde Chonde ndugu Watanzania wenzangu,tukumbuke maneno ya busara ya Mwl Nyerere,kama mkianza kubaguana kwa sehemu aliyotoka mtu dhambi hiyo itawatafuna.Ali Hassan Mwinyi alikuwa rais wa Zanzibar kwenu ilikuwa tunu,leo mtoto wake aliyezaliwa Zanzibar na baba Mzanzibar aliyepata kuwa rais awe si mzanzibar?
Zaidi ya nusu wa Wakaazi wa Zanzibar sio wenye asili ya Zanzibar na huu ndio ukweli.Ushahidi,mjomba yangu mi ni myao wa Masasi .Aliamia Pemba miaka ya sitini,lakini ndugu zake wote wako bara,wake zake na watoto wake wote wamezaliwa Pemba.
Sasa sisi wa Bara hawa sio ndugu zetu?Mbona wanakuja kututembelea na sisi tunakwenda kuwatembelea?
 
Mkapa ndie aliyekuwa mbabe wa siasa za ccm Zanzibar sijui Safari hii sijui itakuaje,ye alitumia nguvu na akili kwa pamoja.RIP mpendwa wetu.
 
Mbona Mwinyi hafi
Kama vile mamlaka ya nani aje duniani na lini yapo kwa Mola Muumba,Mlezi wa viumbe vyote ndivyo hivyo hivyo Mamlaka ya kuondoka duniani yapo pia katika miliki yake Mola Mlezi.

Kila mmoja ataondoka siku yake aliyopangiwa na aliyemleta duniani.

Long live Rais Mzee Alhaj Ali Hassan Mwinyi(Mstaafu)
 
Back
Top Bottom