Zanzibar 2020 Kuna kijungu kinapigwa Visiwani, ni Uchaguzi wa hatma ya Zanzibar

Mkuu hizi ni taarifa kutoka field.

Sio lengo LA mwandishi kuzungumzia ukabila wala urangi.

Kwa sasa hizo ndio taarifa zilizopo. Upepo unaweza kubadilika vile vile.

wenye kazi zao watajua cha kufanya ila huo ndio mrejesho.

Huko chini kuna hizo sauti. Wenyewe wanasema wakizubaa tu Zanzibar fyee.

Huu uchaguzi unanasibishwa na hatma ya Zanzibar. Wanaainisha viashiria vyote vya kuimaliza Zanzibar.

Hata hivyo pengine ni uchungu.

Muda utasema
 
Msimu huu lazima kutangaza rais halali vinginevo rais wa 'tume' atatawala mashokishoki,madoriani, mifenesi na vibua vya baharini baada ya kuwafyeka wazanzibari wote.
 
Mbona kampeni zmieshaanza,
Hivi leo Mjini zanzibar kumesha pambwa kuanzia Bandarini ikiwa kama maandalizi ya kumpokea Mwinyi.
HAPO CHINI NI NGAZI YA KUTOKEA KWENYE CHELEZO CHA KUPANDIA BOTI ZA KILIMANJARO NA ZANZIBAR ONE
 

Attachments

  • Bandarini ZNZZ na CCM.jpg
    112.8 KB · Views: 2
HATA HIVYO WENGINE WALIANZA KULI KULE KULE KULE KULE DODOMA
 
Mpemba alishakula ndoano hapa hana jinsi muungano utadumu kwa namna yoyote ile
 
Acheni umbea Seif alishakubaliana na Baba kuhusu matokeo hivyo Hussein anapeta tu kama kawa.
 
Wakizubaa tu, tunaweka Gavana wetu huko Zanzibar kama vile Queen Elizabeth alivyokuwa analeta magavana hapa Tanganyika kabla ya uhuru. Hata wakimpigia kura Maalim za kutosha, tutatumia jeshi na akina Jecha.
 
Hizi nazo ni porojo zinazotoka kwenye ramli chonganishi.

CCM itashinda na Dr. Mwinyi atakuwa rais wa Zanzibar.

Kama upinzani ulishindwa kushika dola Zanzibar mwaka 1995 na 2015 isahau kushika dola 2020.

Mvuto aliyokuwa nao Maalim Seif katika vipindi hivi hauwezi kuwa nao tena leo 2020 hu ndio ukweli mchungu lazima tuufahamu.

1. Maalim seif ameshajichokea angalau labda angelimuachia damu changa na kijana kama Mansour Yusuf Himid apambane na kijana mwenzake Dr Mwinyi afadhali kungelikuwepo na ushindani.

2. Kura za upinzani zitagawanyika sana hasa kwa vyama vya CuF na ACT na unajua kura za Zanzibar mshindi anaweza kuongoza kwa tofauti ya kura 50,000 kutawazwa Urais kumbuka uchahuzi wa mwaka 1995, 2000, 2010 na hata 2015.
Tofauti hizi ndogo ndio zitawapa mwanaya CCM kuibuka kidedea.

3. Linapokuja suala la kushika dola na kushinda uchaguzi CCM wanakuwa makini sana na watafanya lolote liliondani ya uwezo wao na lisilo ndani ya uwezo wao waweze kushinda(katika jambo ambalo pasina shaka kabisa CCM wanaliweza kuliko lote ni mbinu za ushindi kwa jua na mvua).

CCM haiwezi katu, asilani abadani kukubali kuiacha Zanzibar chini ya upinzani labda upinzani uanze kushinda huku bara. Kwa kuwa kule ni matawi tu huku bara ndio kuna mizizi.

Wapinzani anzeni kukata mzizi kabla ya matawi(Nyoka huanzwa kupigwa kichwani labla ya mkiani)
 
Husein Amekataliwa na Wazanzibar wote ! huyu jamaa ana mkosi mkubwa sana !
Ndio maana baba yake haishi kujipendekeza kwa Maguu ili siku ya siku mwanae apewe support ya kupewa ushindi wa lazima na jeshi lao pendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…