1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo
2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika
3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi
4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada!
5. Kufarakana kati yao.. Timu ya kampeni! Na hili litahusisha pakubwa kwenye mambo ya pesa! Mgao kutoaminiana
6. Uasi wa kizalendo toka kwa wananchi kama Polepole ataendelea kupasua majipu yasiyo na tiba
7. Tuhuma za kudhuriana kati yao
Kila hatua Huwa mnakuja na ramli tofauti ila hamfaulu.1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo
2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika
3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi
4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada!
5. Kufarakana kati yao.. Timu ya kampeni! Na hili litahusisha pakubwa kwenye mambo ya pesa! Mgao kutoaminiana
6. Uasi wa kizalendo toka kwa wananchi kama Polepole ataendelea kupasua majipu yasiyo na tiba
7. Tuhuma za kudhuriana kati yao
Sema nini, kampeni zinaweza kiendelea lakini nimegundua Watz wa kijani hawana aibu kwakweli. Pamoja na zama hizi za karne ya 21 ambayo watu wamejanjaruka lakini wengine bado wanawaona wengine ni wajinga1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo
2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika
3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi
4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada!
5. Kufarakana kati yao.. Timu ya kampeni! Na hili litahusisha pakubwa kwenye mambo ya pesa! Mgao kutoaminiana
6. Uasi wa kizalendo toka kwa wananchi kama Polepole ataendelea kupasua majipu yasiyo na tiba
7. Tuhuma za kudhuriana kati yao
1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo
2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika
3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi
4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada!
5. Kufarakana kati yao.. Timu ya kampeni! Na hili litahusisha pakubwa kwenye mambo ya pesa! Mgao kutoaminiana
6. Uasi wa kizalendo toka kwa wananchi kama Polepole ataendelea kupasua majipu yasiyo na tiba
7. Tuhuma za kudhuriana kati yao
Mkuu, akili umezisahau nyumbani?1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo
2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika
3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi
4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada!
5. Kufarakana kati yao.. Timu ya kampeni! Na hili litahusisha pakubwa kwenye mambo ya pesa! Mgao kutoaminiana
6. Uasi wa kizalendo toka kwa wananchi kama Polepole ataendelea kupasua majipu yasiyo na tiba
7. Tuhuma za kudhuriana kati yao
Hii nitabisha mpaka itakapotokea, kws speed nayoiona huku mtaani wanao tafuta dili za kampeni3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi
Tatizo unaota ndoto na utaota hivyohivyo wenyewe wanazidi kukata mbuga na watashinda hivi hivi mnaona na mtaishia kusema ooo hivi ooh vile1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo
2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika
3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi
4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada!
5. Kufarakana kati yao.. Timu ya kampeni! Na hili litahusisha pakubwa kwenye mambo ya pesa! Mgao kutoaminiana
6. Uasi wa kizalendo toka kwa wananchi kama Polepole ataendelea kupasua majipu yasiyo na tiba
7. Tuhuma za kudhuriana kati yao
imani za kishirikina na ramli ni mambo ya hovyo sana aise dah 🤣1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo