Kuna kila dalili CHADEMA na Sukuma Gang wameunda umoja wa siri dhidi ya Serikali. Umoja wenu uwe na hoja za msingi zenye mashiko

Kuna kila dalili CHADEMA na Sukuma Gang wameunda umoja wa siri dhidi ya Serikali. Umoja wenu uwe na hoja za msingi zenye mashiko

Hataweza shindana na
1. Zanzibar Gang
2. Msoga Gang
3. Mjahidina Gang

Waache tu wasikusumbue kichwa. Serikali yetu hii tupo nayo bega kwa bega
Hpn sisi sukumagang kwasasa tupo na Mama hatuwezi ungana na vibaraka
 
H

Hili lina watu ambao hata humu tulipotea sasa tumerudi awamu hii. Hili gang linaangalia jina la Rais aliyepo Madarakani. Kama linasadifu maudhui
Kwa upande wa Uisilamu linaitwa Al Mujahidina je upande wa Ukristo wanItwaje?
 
Wakristo hawana hayo mambo nadhani wao huwa wanajifanya wana penda ku reason sana. So hawezi unda makundi ya Kigaidi. Yaliyopo sasa ni hayo ya Al Mujahidina ni kupambania jina tu mwanzo mwisho.... Hakuna kulala.

Uko wrong, Dini zote zinaweza kuunda makundi ya Kigaidi.
 
Unaongelea mkataba tofauti na uliosainiwa.

Watanzania mnasikitisha sana kujifanya mnajuwa kumbe hamjuwi.

Mkataba uliojadiliwa bungeni ndiyo huo, sasa kila uwekezaji una mikataba yake ya kibiashara. Mikataba ya kuendesha bandari duniani kwa uchache ni mik 25. Fanya tafiti kidogo, hutegemea na thamani ya kilichowekezwa.

Kuna hesabu za ROI zinapigwa , ndiyo raha ya watu kusoma.
.........ma dalali wa bandari wako wengi sana ......watanzania sio wajinga tena ....am telling u rudini drawing board mkabadilishe terms
 
Unamjua Joseph Kony au IRA?
Ndo maana nikakwambia HATOUNGWA MKONO sababu Ukristo hauamini katika kuua ili uende Mbinguni ukapate thwawabu za wanawake bikra. Anaweza akawa Mkristo jina akaua lakini si kwa misingi ya kikristo. Ndo maana husikii magaidi wakristo. Ukitaja tu Ugaidi kuna Dini inakuja kichwani.
 
Hebu angalia kwenye hii clip jinsi Ugaidi wa Kikristo ulivyoungwa mkono na Wakristo kwa kufuata Biblia
 
Back
Top Bottom