Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mtafanya nini? Maneno ya kila siku hayomakuwadi ya dpworld yaliyohongwa mtamsumbua nani, uzuri tunawasubir 2025 ndio mtaelewa vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafanya nini? Maneno ya kila siku hayomakuwadi ya dpworld yaliyohongwa mtamsumbua nani, uzuri tunawasubir 2025 ndio mtaelewa vizuri.
Umeamini HATOGOMBEA?Chadema siku zote wanatumika na Pengo.... Pengo akisema Dr Slaa muunge mkono Magufuli....anafanya hivyo mara moja...na sasa Pengo kasema "zuia Samia 2025"...
Chadema nao hasa Dr Slaa ambae bado ana influence...wameingia kazini
Acha kushikiwa akili na wanasiasa uchwara wewe. Ni aibu kuona kijana kama wewe umezaliwa ili utumiwe na wanasiasa uchwara ambao wao watoto wao wako ulaya na marekani wakitengeneza maisha yao na ya wazazi wao ( hao wanaokutumia)
Nchi moja kuingia mkataba na nchi nyingine haimaanishi kwamba serikali imeshindwa, bali ni katika uboreshaji wa mbinu za kiuchumi.
Hii dp world ndio inayoendesha bandari za Marekani, Uingereza na nchi nyingine kubwa ambazo wenye akili na wafuatiliaji wa mambo ya dunia wanazifahamu.
So wewe unafikiri raisi wa Marekani au Queen Elizabeth wa Uingereza hawakuwa na uwezo wa kuendeleza bandari zao hadi kuwakabidhi hao jamaa?
Je wao hawana jeshi, fbi, cia nk?
Hawana matajiri wa kuziendesha bandari zao?
Akili za kuambiwa changanya na zako, usiwe kama bata anaerushiwa tunge la ugali na kukimbilia kulimeza bila kufikiri labda sometimes anaweza kuwekewa jiwe katikati ya tonge ili baadae lije kumdhuru.
Shtuka kijana, acha kutumiwa na wapiga deal, wakwepa kodi bandarini na wapitisha madawa ya kulevya.
Wenzio wanapiga kelele ili kupambania kitumbua chao pale bandarini afu wewe unaishia kutumia bando lako, pumzi yao na nguvu zako kupigania ulaji wao.
Baba Yako awe makini ataolewaMama Yako awe makini atapotezwa
Hizo nchi ulizozitaja kuna ambayo wanafanya wenyewe na wanaweza wewe yakwako imeweza nini?.Wenzako wanabinafsisha kwasababu zakiuchumi wewe tatizo linaanzia kwenye usimamizi.uoni tofauti.Acha kushikiwa akili na wanasiasa uchwara wewe. Ni aibu kuona kijana kama wewe umezaliwa ili utumiwe na wanasiasa uchwara ambao wao watoto wao wako ulaya na marekani wakitengeneza maisha yao na ya wazazi wao ( hao wanaokutumia)
Nchi moja kuingia mkataba na nchi nyingine haimaanishi kwamba serikali imeshindwa, bali ni katika uboreshaji wa mbinu za kiuchumi.
Hii dp world ndio inayoendesha bandari za Marekani, Uingereza na nchi nyingine kubwa ambazo wenye akili na wafuatiliaji wa mambo ya dunia wanazifahamu.
So wewe unafikiri raisi wa Marekani au Queen Elizabeth wa Uingereza hawakuwa na uwezo wa kuendeleza bandari zao hadi kuwakabidhi hao jamaa?
Je wao hawana jeshi, fbi, cia nk?
Hawana matajiri wa kuziendesha bandari zao?
Akili za kuambiwa changanya na zako, usiwe kama bata anaerushiwa tunge la ugali na kukimbilia kulimeza bila kufikiri labda sometimes anaweza kuwekewa jiwe katikati ya tonge ili baadae lije kumdhuru.
Shtuka kijana, acha kutumiwa na wapiga deal, wakwepa kodi bandarini na wapitisha madawa ya kulevya.
Wenzio wanapiga kelele ili kupambania kitumbua chao pale bandarini afu wewe unaishia kutumia bando lako, pumzi yao na nguvu zako kupigania ulaji wao.
Shujaa wa nyuma ya keyboard, kelele nyiingi kumbe umekaa ndani ya nyumba yako na huna jeuri hata ya kuonyesha uso wako mbele ya virungu vya polisi.Makuwadi na madalali ya dpworld tunawaonya pamoja na hao mnaowakuwadia kuwa wakija hapo bandarini tutawageuza nyama wapuuz nyinyi.
Hausemi kitu.Mkataba unasemaje?
Hauna mwisho. Jisomee 👇🏾Mkataba ni miaka mingapi ? Vipi terms za kuvunja ?
,,😆😆Shida iko wapi!
Hatutaki huo mkataba wa kihuni, binafisisheni ccm yenu wajinga nyinyi
Wewe jamaa kwenye hili la DPW umeonyesha rangi zako halisi,huna uwezo tu lakini unatamani hata utusilimishe Nchi nzima na kwako Mwadhama Kardinali Pengo ni kikwazo kikubwa sana kwa ajenda uliyonayo.Chadema siku zote wanatumika na Pengo.... Pengo akisema Dr Slaa muunge mkono Magufuli....anafanya hivyo mara moja...na sasa Pengo kasema "zuia Samia 2025"...
Chadema nao hasa Dr Slaa ambae bado ana influence...wameingia kazini
Hahahahaha.......kwa uwekezaji huo miezi 12 hiyo sio muda as mkataba .....UK wameweka wazi sana miaka 20Hauna mwisho. Jisomee 👇🏾
5:
4. Nchi Wanachama zinakubali kwamba Miradi ya Awamu ya 1 (kama ilivyofafanuliwa katika Kiambatisho 1) itakuwa ndiyo miradi ya kipaumbele katika kuiendeleza na kuitekeleza. Serikali ya Tanzania itahakikisha kwamba TPA haitaongeza mapendekezo mengine yoyote ya Miradi yoyote ya Awamu ya 1 kuanzia Tarehe ya Kusainiwa hadi tarehe ambayo majadiliano kati ya DPW na TPA kwa Miradi ya Awamu ya 1 yamesitishwa au baada ya kumalizika muda wa miezi 12 kutoka Tarehe ya kusainiwa kwa Mkataba huu, yoyote iliyo ya mapema
Unaongelea mkataba tofauti na uliosainiwa.Hahahahaha.......kwa uwekezaji huo miezi 12 hiyo sio muda as mkataba .....UK wameweka wazi sana miaka 20
Unaongelea mkataba tofauti na uliosainiwa.
Watanzania mnasikitisha sana kujifanya mnajuwa kumbe hamjuwi.
Mkataba uliojadiliwa bungeni ndiyo huo, sasa kila uwekezaji una mikataba yake ya kibiashara. Mikataba ya kuendesha bandari duniani kwa uchache ni mik 25. Fanya tafiti kidogo, hutegemea na thamani ya kilichowekezwa.
Kuna hesabu za ROI zinapigwa , ndiyo raha ya watu kusoma.
Wewe jamaa kwenye hili la DPW umeonyesha rangi zako halisi,huna uwezo tu lakini unatamani hata utusilimishe Nchi nzima na kwako Mwadhama Kardinali Pengo ni kikwazo kikubwa sana kwa ajenda uliyonayo.