Hpn sisi sukumagang kwasasa tupo na Mama hatuwezi ungana na vibarakaHataweza shindana na
1. Zanzibar Gang
2. Msoga Gang
3. Mjahidina Gang
Waache tu wasikusumbue kichwa. Serikali yetu hii tupo nayo bega kwa bega
Ni lile linaloongozwa na Slaa au ni lipi?3. Mjahidina Gang
Hili lina watu ambao hata humu tulipotea sasa tumerudi awamu hii. Hili gang linaangalia jina la Rais aliyepo Madarakani. Kama linasadifu maudhuiNi lile linaloongozwa na Slaa au ni lipi?
Kwa upande wa Uisilamu linaitwa Al Mujahidina je upande wa Ukristo wanItwaje?H
Hili lina watu ambao hata humu tulipotea sasa tumerudi awamu hii. Hili gang linaangalia jina la Rais aliyepo Madarakani. Kama linasadifu maudhui
Kwa upande wa Uisilamu linaitwa Al Mujahidina je upande wa Ukristo wanItwaje?
Uko wrong, Dini zote zinaweza kuunda makundi ya Kigaidi.Wakristo hawana hayo mambo nadhani wao huwa wanajifanya wana penda ku reason sana. So hawezi unda makundi ya Kigaidi. Yaliyopo sasa ni hayo ya Al Mujahidina ni kupambania jina tu mwanzo mwisho.... Hakuna kulala.
Uzoefu na Dunia haisemi hivyo. Atakeunda kundi la kigaidi akajiita Mkristo hata Wakristo wenzake watamkana kwa nguvu sana. Mapema sana.Uko wrong, Dini zote zinaweza kuunda makundi ya Kigaidi.
Unamjua Joseph Kony au IRA?Uzoefu na Dunia haisemi hivyo. Atakeunda kundi la kigaidi akajiita Mkristo hata Wakristo wenzake watamkana kwa nguvu sana. Mapema sana.
Hebu jikimbushe na Magaidi wa KikristoUzoefu na Dunia haisemi hivyo. Atakeunda kundi la kigaidi akajiita Mkristo hata Wakristo wenzake watamkana kwa nguvu sana. Mapema sana.
.........ma dalali wa bandari wako wengi sana ......watanzania sio wajinga tena ....am telling u rudini drawing board mkabadilishe termsUnaongelea mkataba tofauti na uliosainiwa.
Watanzania mnasikitisha sana kujifanya mnajuwa kumbe hamjuwi.
Mkataba uliojadiliwa bungeni ndiyo huo, sasa kila uwekezaji una mikataba yake ya kibiashara. Mikataba ya kuendesha bandari duniani kwa uchache ni mik 25. Fanya tafiti kidogo, hutegemea na thamani ya kilichowekezwa.
Kuna hesabu za ROI zinapigwa , ndiyo raha ya watu kusoma.
Ndo maana nikakwambia HATOUNGWA MKONO sababu Ukristo hauamini katika kuua ili uende Mbinguni ukapate thwawabu za wanawake bikra. Anaweza akawa Mkristo jina akaua lakini si kwa misingi ya kikristo. Ndo maana husikii magaidi wakristo. Ukitaja tu Ugaidi kuna Dini inakuja kichwani.Unamjua Joseph Kony au IRA?
Hebu angalia kwenye hii clip jinsi Ugaidi wa Kikristo ulivyoungwa mkono na Wakristo kwa kufuata BibliaNdo maana nikakwambia HATOUNGWA MKONO sababu Ukristo hauamini katika kuua ili uende Mbinguni ukapate thwawabu za wanawake bikra. Anaweza akawa Mkristo jina akaua lakini si kwa misingi ya kikristo. Ndo maana husikii magaidi wakristo. Ukitaja tu Ugaidi kuna Dini inakuja kichwani.