Tetesi: Kuna kila dalili Gachagua kushinda kesi na ku-renew Madarakani

Tetesi: Kuna kila dalili Gachagua kushinda kesi na ku-renew Madarakani

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Kesi ya kupinga Kuondolewa Madarakani kwa aliyekua Naibu Rais Gachagua inaelekea pazuri na punde mahakama inamrejesha kwenye mamlaka yake ya awali. Asante Katiba.
 
kama akishinda afungue kesi ya kuwa hana imani na bunge na halitendi haki hivyo aiombe mahakama ilifute tu na raisi aondolewe ngoma ianze upya
 
Kesi ya kupinga Kuondolewa Madarakani kwa aliyekua Naibu Rais Gachagua inaelekea pazuri na punde mahakama inamrejesha kwenye mamlaka yake ya awali. Asante Katiba.
Nakumbuka kesi yake ilipokuwa kwenye Seneti inasikilizwa, ilikuja hoja humu kuwa "Gachagua kushinda kesi" (sijui ulikuwa ni wewe?)
 
Ngoja wajuvi wa sheria waje lakini nijuavyo ikiwa mahakama itaridhia aendelee kuwa DP ni Kwa ki-challange mchakato kwamba haukufuata utaratibu wa kikatiba hasa kwa kutosikiliza utetezi wake seneti..Na kama itakua hivyo basi mchakato utarejewa na Gachagua ataondolewa Tu...Hakuna namna anaweza kuendelea
 
Hatoshinda Kesi, ila kuna uwezekano akabakia na madaraka ya u Naibu Raisi kupitia njia ya Rufaa. Ila kwa mamlaka aliyo nayo Rais atampokonya madaraka yake na kumkabidhi Prof. Kindiki, kama ilivykua enzi za Uhuru Kenyatta alivyo mkabidhi madaraka makubwa Ndungu Matiangi kuliko Ruto
 
Mutu ya Murima mwezi huu atapokea mshahara?
 
Mjukuu wa maumau hiyo imetokea, karibu Tanzania kwenye kilimo Cha mwani
 
Hata akishinda sioni namna wanaweza endesha nchi pamoja lazima mmoja aondoke ili mambo yaende
 
Ngoja wajuvi wa sheria waje lakini nijuavyo ikiwa mahakama itaridhia aendelee kuwa DP ni Kwa ki-challange mchakato kwamba haukufuata utaratibu wa kikatiba hasa kwa kutosikiliza utetezi wake seneti..Na kama itakua hivyo basi mchakato utarejewa na Gachagua ataondolewa Tu...Hakuna namna anaweza kuendelea
Hilo neno
 
Back
Top Bottom