ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Ukipita huku mtaani watu wanashauku sana na uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi wa kimkakati, Kati ya chadema na Ccm.
Kama hakutakuwa na uwizi wa kura na magumashi basi mpambano utakuwa mkali kuliko ule wa magufuli na lowasa.
Ni mpambano uliojificha ndani ya migogoro ya muungano, watu moyoni wanalao Jambo, matatizo ya muungano ndo yatakayoamua nani awe Rais wa Tanganyika(TZ), ikiruhusiwa mikutano ya siasa basi Zanzibar uru inaweza kupatikana 2025.
Navyoona utakuwa ni mpambano Kati ya Samia na Mbowe.
Tunaomba Mikutano iruhusiwe na kesi zifutwe Ili tuanze kupambana mapema kuelekea 2025.
Lazma watanzania wa Bata na Zanzibar msiruhusu Dola kuiba uchaguzi Ili tumpate Rais halali na anayependwa na wengi