Wapi aliwanyooshea wasukuma? Weka vyanzo.
Wapi nimeongea habari za mtu mwingine? Sina mpango.
Nimeandika kwa ufahamu na uelewa wangu wa moja kwa moja kwa kuwa naifahamu Tanganyika na hsitoria yake na tabia za matabaka yetu.
Usinipeleke nisikokujua.
Nimekwambia kuna habari hiyo kama wewe hujui haina maana kuwa haipo.
Wapi unasoma kwamba nimekwambia unaongea habari za mtu mwingine au wapi hata kuwa unampango huo? Wapi nimekwambia hukuandika kwa ufahamu wako?
Kwa nini kama vile wewe ulivyo na unaufahamu wako, hudhani kuwa kila mtu ana ufahamu wake?
Kwanini katika mazingira kama hayo basi tusikae kwenye mchakato na uchaguzi ulio huru, wa haki na wenye kuaminika kumpata kiongozi aliye bora zaidi?
Kwani wewe ni almighty? Kwa vile wala si yule wala mimi, kwanini hii ngoma isiachwe kuwa wengi wape?
Kwanini unaonekana kutaka kulazimisha tu ufahamu wako uwe wetu sote?
Huoni kuwa huku hujitendei haki wewe mwenyewe?
Looh!