Nyerere alichukua Nchi akiwa na Miaka 36?
Nimezungumzia kuwa Rais wewe umezungumzia kuchukua Nchi
Alichukua nchi akiwa na miaka 39 i.e 1922-1961
Amekuwa Rais akiwa na miaka 40 i.e 1922-1962
Ukikosoa jitahidi kuwa makini zaid ya yule unaemkosoa
Nimezungumzia kuwa Rais wewe umezungumzia kuchukua Nchi
Alichukua nchi akiwa na miaka 39 i.e 1922-1961
Amekuwa Rais akiwa na miaka 40 i.e 1922-1962
Ukikosoa jitahidi kuwa makini zaid ya yule unaemkosoa
Nisiache kukusahihisha Nyerere alichukua nchi akiwa na miaka 36. Akiwa rais bora kabisa katika wote tuliowahi kupata.
Katiba siyo msahafu kutokea kwa Mola.
Ndiyo maana tuna wivu kweli kweli na katiba mpya itakayo tambua "age is just a number." Kote yaani chini na juu.
Wanaochagua mmoja ni watu wengi. Penye wengi hapa haribiki jambo!
Tunataka katiba mpya itakayo hakikisha wakiwamo viongozi watakuwa watapatikana wale walio bora zaidi kupitia mchakato huru wa haki na wenye kuaminika.
Si wahuni, matapeli au viroboto tunaowasikia.