Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Unajuwa Chacha Wangwe alikwenda wapi? Ni sababu gani Zitto Kabwe na wenzie zilizowatoa CHADEMA?Mtu akiwa Bora sana kuna Kasumba ya watu kuogopa na kutafuta sababu ambazo si za kweli,familia ya kina mbowe wao ndio wameamua kuwa yeye ndio awe kiongozi wa familia na biashara zao zote kuhusu Chadema ni wanachama wenyewe ndio wanataka Mbowe aendelee kuwa chairman kwa kuwa wanajua na kutambua uwezo wake kuhusu ukabila ndani ya CDM hizo ni propaganda za upande wa pili ili ku destabilize CDM na morale ya wanachama wa CDM lakini kiukweli jamaa ni Mwamba na nusu.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Je Fredrick Sumaye alipoambiwa asipime ukali wa sumu kwa kuonja na ulimi ilikuwa na maana gani?