Kuna Kila Dalili Mbowe akawa Rais wa Tanganyika(TZ) 2025, jela Tu ndo itamzuia

Kuna Kila Dalili Mbowe akawa Rais wa Tanganyika(TZ) 2025, jela Tu ndo itamzuia

Tuondolee upumbavu wako wa kuambukizwa. Kawadanganye wapumbavu wenzio wa CCM. Mbowe angefanya hivyo CCM kupitia Mahakama zenu za makada wenu za "maelekezo toka juu" angeshahukumiwa kunyongwa!
Wacha kubwata kama Bata anayeharisha, kwani hukumu imetoka? Na je adhabu ya ugaidi kwani ni kunyongwa?

mchillo unakuja hapa umekunywa mapombe ya komoni na ulaka unajiandikia tu Ali mradi
 
Ndoto yako ikitimia Mbowe ndio atakuwa Rais alieingia madarakani kwa mara ya kwanza akiwa Kikongwe zaid

Julius aliingia akiwa na 40
Ally aliingia akiwa na 60
Benja akiwa na 58

Jakaya akiwa na 55
John akiwa na 56
Samia akiwa na 61
Kwa muonekano ule wa samia...kweli age is just a number.
 
Ukipita huku mtaani watu wanashauku sana na uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi wa kimkakati, Kati ya chadema na Ccm.
Kama hakutakuwa na uwizi wa kura na magumashi basi mpambano utakuwa mkali kuliko ule wa magufuli na lowasa.
Ni mpambano uliojificha ndani ya migogoro ya muungano, watu moyoni wanalao Jambo, matatizo ya muungano ndo yatakayoamua nani awe Rais wa Tanganyika(TZ), ikiruhusiwa mikutano ya siasa basi Zanzibar uru inaweza kupatikana 2025.
Navyoona utakuwa ni mpambano Kati ya Samia na Mbowe.
Tunaomba Mikutano iruhusiwe na kesi zifutwe Ili tuanze kupambana mapema kuelekea 2025.

Lazma watanzania wa Bata na Zanzibar msiruhusu Dola kuiba uchaguzi Ili tumpate Rais halali na anayependwa na wengi
wewe unaumwa, ndoto za mchana hizo bila TUME HURU YA UCHAGUZI na KATIBA MPYA ccm haiwezi kutoka madarakani kamwe mpaka Yesu anarudi, upo apo.
 
Tatizo ni mchaga. Wachaga hawafai wale. Wanaubaguzi, ubinafsi na hawana upendo kwa mtu yeyote isipokuwa wao wenyewe. Siku mkipma mchaga uongozi wa nchi, mambo ya wakikikuyu dhidi ya wengine yaliyokenya, yanahamia hapa. Hatutaki.

Na kama hataondoa ukbalia kwenye chama chake, atabaki kuwa mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani bungeni maisha yote lakini hawawi viongozi wa nchi Ng'o!.

La kufanya ni vizuri watathmini muundo wa chama chao, waimarishe kwa kuruhusu mchanganyiko mzuri wa uongozi wa juu wa chama hadi chini, wateue mgombea asiye mchaga, na bila shaka watu watakichagua kwa kuwa walishachoka na zimwi ccm. Lakini kinyume cha pale, watu wanaoan bora zimwi likujualo.

CHADEMA rekebisheni mifumo na ukabila kwenye chama chenu, vinginevyo,wtu watafurahia kuibiwa kwenu kura ili wasiwe chini ya wachuuzi, wachaga, looters, wabaguzi, wabinafsi, wenye upendeleo na ujasiri wa kifisadi wakiwa tayari kwa lolote hata kama llina gharama gani ili wapate fedha. Tutakwisha, na kila kitu chetu hata vilivyosalia vitakwisha. Htuwezi kuruka mkojo tukaangukia kwenye m.a.v.
Hapana!hebu angalia chain ya uongozi ya CHADEMA kuna Mwenyekiti mchaga,Katibu Msukuma !!sasa hapo uchaga unatoka wapi hapo???
 
Ukipita huku mtaani watu wanashauku sana na uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi wa kimkakati, Kati ya chadema na Ccm.
Kama hakutakuwa na uwizi wa kura na magumashi basi mpambano utakuwa mkali kuliko ule wa magufuli na lowasa.
Ni mpambano uliojificha ndani ya migogoro ya muungano, watu moyoni wanalao Jambo, matatizo ya muungano ndo yatakayoamua nani awe Rais wa Tanganyika(TZ), ikiruhusiwa mikutano ya siasa basi Zanzibar uru inaweza kupatikana 2025.
Navyoona utakuwa ni mpambano Kati ya Samia na Mbowe.
Tunaomba Mikutano iruhusiwe na kesi zifutwe Ili tuanze kupambana mapema kuelekea 2025.

Lazma watanzania wa Bata na Zanzibar msiruhusu Dola kuiba uchaguzi Ili tumpate Rais halali na anayependwa na wengi
Uwezekano wa Mbowe kuwa Rais ni mkubwa sana
 
Sipendi kuwabagua watu kabisa ila ndugu zetu wachaga na wahaya aisee.
Mara paaap ndo mchaga rais? hiyo kazi mtaiona[emoji1787][emoji1787]

Maneno yako yapo kibaguzi sana, hizo ni tabia za mtu au watu wa jamii fulani. Kuna wakati sokoine aliwahi kuwa waziri mkuu na yeye alikuwa anatokea jamii ya kimaasai. Je kutokana na jamii anayotoka ndio tuje na conclusion ya kwamba ataendeleza ukatili wakijinsia thidi ya wanawake.

serikali ni mfumo na sio mtu
 
Hizo fikra tunazijua je bila hoja? Chutama mjomba uko uchi!
Unawwza ukawazidi watu kwa hoja kwa kuwa no hodari tu wa mdahalo lakini so lazima uwe sahihi,kambona aliona wapi ujamaa utakapotupeleka,na ndipo tulipofika,lakini alishindwa hoja na baba wa taifa,Ila alikua sahihi na mzee alipotoka
 
Kwamba una nondo matata sana kichwani lakini *presentation zero" na mtihani ni "oral?"

Si ndiyo umekwisha feli sasa 😁😁.

Hiiiiii bagosha!
 
Akishika hatamu akakubagua kisa kabila ndo utajuua Kuna umuhimu zaidi ya kutambika

Kwa vile wewe si nabii wala almighty wacha tukomae na mkoloni mweusi kwanza.

IMG_20210923_152851_094.jpg

Mengine tutajuana mbele kwa mbele

Kitaeleweka tu.
 
Back
Top Bottom