Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Siro niniNasisitiza MBOWE hatokaa awe RAIS labda mimi NIFE. Lkn kama nitakuwa HAI, haitokaa itokee MCHAGA awe RAIS kwenye nchi.
Nimeshasema HAKUNA MCHAGA ATAKUWA RAIS. Kwa umri wangu huu wa miaka 50+ wasubiri mimi nife. Lkn kama nitakuwa hai hawatokaa wapate URAIS.We Siro nini
Sema umekwisha wewe!Nimeongea ki ukweli sana. WAchaga si watu wa kuwapa nchi. Wanaweza sana kushika nyadhida za juu za serikali wakiwa chini ya mamlaka dhibiti, lakii si kuwaacha wao ndio wawe vingozi wa nchi. TUMEKWISHA.
Hatuwezi ONGOZWA na WACHAGA mzee, nendeni mkaambizane this DECEMBER mbwa nyie.Sema umekwisha wewe!
Akili yako imehorogeka,Hao ambao sio wachaga wameongoza hii nchi miaka 60 wameifikisha wapi!?
Hizi hisia na mawazo mabovu ya kikabila, kikanda, kidini na mengine yanayofanana na hayo ni hatari sana...hayajawahi kusaidia lolote wala chochote katika maendeleo ya binadamu(soma historia).
Ila ndio chimbuko kubwa la vita na mifarakano kote duniani.
Usitake watz tushabikie ujinga uliofanywa na Rwanda.
CCM ni wazito sana kujifunza. Kumkamata, kumdhalilisha, kumtesa na kumfunga kiholela Mbowe ni moja ya makosa yatakayoigharimu CCM kwa miango kadhaa!Ukipita huku mtaani watu wanashauku sana na uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi wa kimkakati, Kati ya chadema na Ccm.
Kama hakutakuwa na uwizi wa kura na magumashi basi mpambano utakuwa mkali kuliko ule wa magufuli na lowasa.
Ni mpambano uliojificha ndani ya migogoro ya muungano, watu moyoni wanalao Jambo, matatizo ya muungano ndo yatakayoamua nani awe Rais wa Tanganyika(TZ), ikiruhusiwa mikutano ya siasa basi Zanzibar uru inaweza kupatikana 2025.
Navyoona utakuwa ni mpambano Kati ya Samia na Mbowe.
Tunaomba Mikutano iruhusiwe na kesi zifutwe Ili tuanze kupambana mapema kuelekea 2025.
Lazma watanzania wa Bata na Zanzibar msiruhusu Dola kuiba uchaguzi Ili tumpate Rais halali na anayependwa na wengi
Niulize lolote nikujibu kuanzia maisha yake, kusoma sekondari, kutosoma chuo, biashara za baba yake, biashara zake chafu na kuingia siasa.Kawadanganye walevi wenzio wa kusujudu na kuabudu ili mradi umepata mkate wako wakila siku.
Habari za Mbowe huzijui na hutozijua kamwe.
Hiyo kazi ni wajibu wa mke wa mh Mbowe siyo wewe.Niulize lolote nikujibu kuanzia maisha yake, kusoma sekondari, kutosoma chuo, biashara za baba yake, biashara zake chafu na kuingia siasa.
Kama kusujudu na kuabudunni wewe Mmawia unayemlamba viatu mtu humjui
Wewe mwenyewe brazaj ni tapelinna Mbowe naye tapeli. Au nikukumbushe alivyouza nafasi ya mgombea uRais wa Tz kwa Lowasa kwa Tsh 10 Billion?Kwa hicho unachokijua wewe tukichukulie ni sahihi na ndiyo kuwa imetoka (yaani final and terminate) mjomba? Hutupi hata nafasi ya kutuambia ubora au ufyongo wako binafsi bali unapuyanga tu kama huna akili nzuri tu?
Kwani wewe ni nani hasa? Kwanini hata udhani kuna anayeweza kukupa umuhimu wowote? Hata kama ungekuwa mkewe mbona bado tungependa kujua kama wewe ni almighty?
Kwani kuna binadamu anayeaminika? Si unamwona aliyemwaminisha hadi Bulembo kuwa yeye ni mzalendo kweri kweri kumbe tapeli baba lao:
View attachment 2048662
Kama wewe si almighty huoni umuhimu wa uhuru, haki na kuaminika kwa sanduku la kura viroboto, wahuni na matapeli nyie?
Kweli tupuHawezi kuwa Rais labda kama nchi haina usalama wa taifa, yaan mbowe aongoze nchi?huu utani kabisa, Kama mtu chama chake tu kakifanya kama biashra yake yaan yeye ndo kila kitu alafu umpe urais!! Litakua kosa kubwa kuwahi kufanyika nchi hii
Kama wewe unavyowajibika kwa mumeo. Hongera wanawakeHiyo kazi ni wajibu wa mke wa mh Mbowe siyo wewe.
Wewe mwenyewe brazaj ni tapelinna Mbowe naye tapeli. Au nikukumbushe alivyouza nafasi ya mgombea uRais wa Tz kwa Lowasa kwa Tsh 10 Billion?
Endeleeni kumtumikia makengeza
Naona umekubali sasa!Kama wewe unavyowajibika kwa mumeo. Hongera wanawake
Hii ccm hata ikipambana na mzee Rungwe haiwezi kusalimika uchaguzi ukiwa wa haki.Kwani mtashiriki uchaguzi mkuu wa 2025 bila Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi? 🙄
Unahamisha magoli baada ya kupokea knuckles!!Jitendee haki kwa kuyaeleza makando kando yako kama hutajali tafadhali.
Kwamba umeng'ang'ania vibanzi kwenye macho ya wengine, hali mwenyewe una boriti kubwa machoni mwako?
Huo ni ushamba!
Uhalali wa awaye yote ni kwa kupitia sanduku la kura lililo huru, la haki na lenye kuaminika, pekee.
Uhalali wa awaye yote hauwezi kuharamishwa na watuhumiwa vinara wa kusokomeza wengine kwenye viroba:
View attachment 2048829
Ukipita huku mtaani watu wanashauku sana na uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi wa kimkakati, Kati ya chadema na Ccm.
Kama hakutakuwa na uwizi wa kura na magumashi basi mpambano utakuwa mkali kuliko ule wa magufuli na lowasa.
Ni mpambano uliojificha ndani ya migogoro ya muungano, watu moyoni wanalao Jambo, matatizo ya muungano ndo yatakayoamua nani awe Rais wa Tanganyika(TZ), ikiruhusiwa mikutano ya siasa basi Zanzibar uru inaweza kupatikana 2025.
Navyoona utakuwa ni mpambano Kati ya Samia na Mbowe.
Tunaomba Mikutano iruhusiwe na kesi zifutwe Ili tuanze kupambana mapema kuelekea 2025.
Lazma watanzania wa Bata na Zanzibar msiruhusu Dola kuiba uchaguzi Ili tumpate Rais halali na anayependwa na wengi
Tuondolee upumbavu wako wa kuambukizwa. Kawadanganye wapumbavu wenzio wa CCM. Mbowe angefanya hivyo CCM kupitia Mahakama zenu za makada wenu za "maelekezo toka juu" angeshahukumiwa kunyongwa!Tanzania patakuwa mahali pabaya pa kuishi kama Mbowe atakuwa Rais. Nenda kaangalie historia yake kwenye familia ya Mzee Aikaeli Mbowe, utagundua kuwa amehodhi urithi wote peke yake na familia yake.
Nenda kamuangalie anavyoendesha CHADEMA, utagundua ni kama duka lake binafsi. Yeye ndiye anachagua wachagga wenzie kuwapa viti maalum including mahawara zake. Yeye hakubali uchaguzi wa kugombea kiti cha Mwenyekiti kuanzia alipochukua kwa Bob Makani mwaka 2003.
Freeman Mbowe ndiye anaiuzia magari mabovu CHADEMA na hakuna wa kumhoji. Kifupi Mbowe atakuwa DIKTETA mbaya kuliko Magufuli
Tatizo ni mchaga. Wachaga hawafai wale. Wanaubaguzi, ubinafsi na hawana upendo kwa mtu yeyote isipokuwa wao wenyewe. Siku mkipma mchaga uongozi wa nchi, mambo ya wakikikuyu dhidi ya wengine yaliyokenya, yanahamia hapa. Hatutaki.
Na kama hataondoa ukbalia kwenye chama chake, atabaki kuwa mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani bungeni maisha yote lakini hawawi viongozi wa nchi Ng'o!.
La kufanya ni vizuri watathmini muundo wa chama chao, waimarishe kwa kuruhusu mchanganyiko mzuri wa uongozi wa juu wa chama hadi chini, wateue mgombea asiye mchaga, na bila shaka watu watakichagua kwa kuwa walishachoka na zimwi ccm. Lakini kinyume cha pale, watu wanaoan bora zimwi likujualo.
CHADEMA rekebisheni mifumo na ukabila kwenye chama chenu, vinginevyo,wtu watafurahia kuibiwa kwenu kura ili wasiwe chini ya wachuuzi, wachaga, looters, wabaguzi, wabinafsi, wenye upendeleo na ujasiri wa kifisadi wakiwa tayari kwa lolote hata kama llina gharama gani ili wapate fedha. Tutakwisha, na kila kitu chetu hata vilivyosalia vitakwisha. Htuwezi kuruka mkojo tukaangukia kwenye m.a.v.
Acha ndoto za mchana mkuuUkipita huku mtaani watu wanashauku sana na uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi wa kimkakati, Kati ya chadema na Ccm.
Kama hakutakuwa na uwizi wa kura na magumashi basi mpambano utakuwa mkali kuliko ule wa magufuli na lowasa.
Ni mpambano uliojificha ndani ya migogoro ya muungano, watu moyoni wanalao Jambo, matatizo ya muungano ndo yatakayoamua nani awe Rais wa Tanganyika(TZ), ikiruhusiwa mikutano ya siasa basi Zanzibar uru inaweza kupatikana 2025.
Navyoona utakuwa ni mpambano Kati ya Samia na Mbowe.
Tunaomba Mikutano iruhusiwe na kesi zifutwe Ili tuanze kupambana mapema kuelekea 2025.
Lazma watanzania wa Bata na Zanzibar msiruhusu Dola kuiba uchaguzi Ili tumpate Rais halali na anayependwa na wengi