nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,035
- 2,938
Umemaliza
Tanzania patakuwa mahali pabaya pa kuishi kama Mbowe atakuwa Rais. Nenda kaangalie historia yake kwenye familia ya Mzee Aikaeli Mbowe, utagundua kuwa amehodhi urithi wote peke yake na familia yake.
Nenda kamuangalie anavyoendesha CHADEMA, utagundua ni kama duka lake binafsi. Yeye ndiye anachagua wachagga wenzie kuwapa viti maalum including mahawara zake. Yeye hakubali uchaguzi wa kugombea kiti cha Mwenyekiti kuanzia alipochukua kwa Bob Makani mwaka 2003.
Freeman Mbowe ndiye anaiuzia magari mabovu CHADEMA na hakuna wa kumhoji. Kifupi Mbowe atakuwa DIKTETA mbaya kuliko Magufuli