Kuna Kila Dalili Mbowe akawa Rais wa Tanganyika(TZ) 2025, jela Tu ndo itamzuia

Kuna Kila Dalili Mbowe akawa Rais wa Tanganyika(TZ) 2025, jela Tu ndo itamzuia

Ndoto yako ikitimia Mbowe ndio atakuwa Rais alieingia madarakani kwa mara ya kwanza akiwa Kikongwe zaid

Julius aliingia akiwa na 40
Ally aliingia akiwa na 60
Benja akiwa na 58

Jakaya akiwa na 55
John akiwa na 56
Samia akiwa na 61
Biden na 90

Katika maisha historia huja kwa majira yake... na kila mtu ana time zone yake
 
Ukipita huku mtaani watu wanashauku sana na uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi wa kimkakati, Kati ya chadema na Ccm.
Kama hakutakuwa na uwizi wa kura na magumashi basi mpambano utakuwa mkali kuliko ule wa magufuli na lowasa.
Ni mpambano uliojificha ndani ya migogoro ya muungano, watu moyoni wanalao Jambo, matatizo ya muungano ndo yatakayoamua nani awe Rais wa Tanganyika(TZ), ikiruhusiwa mikutano ya siasa basi Zanzibar uru inaweza kupatikana 2025.
Navyoona utakuwa ni mpambano Kati ya Samia na Mbowe.
Tunaomba Mikutano iruhusiwe na kesi zifutwe Ili tuanze kupambana mapema kuelekea 2025.

Lazma watanzania wa Bata na Zanzibar msiruhusu Dola kuiba uchaguzi Ili tumpate Rais halali na anayependwa na wengi
Next president ni Tundu Lissu
 
Halafu Tundu Lisu itakuwaje wakati ndio Rais wetu.... wale jamaa hata EL akienda tena kugombea 2025 watampa tu...
 
Ndoto yako ikitimia Mbowe ndio atakuwa Rais alieingia madarakani kwa mara ya kwanza akiwa Kikongwe zaid

Julius aliingia akiwa na 40
Ally aliingia akiwa na 60
Benja akiwa na 58

Jakaya akiwa na 55
John akiwa na 56
Samia akiwa na 61
Akiwa kikongwe wewe itakupunguzia nini maishani mwako?
 
Bila ya kumuomba Magufuli msamaha no chance, chadema na Mbowe hawawezi kushinda uchaguzi Tanzania kwa kumtukana na kumdhihaki Magufuli (RIP).

Magufuli anajeshi kubwa sana nchi hii la Watanzania Waislamu na Wakristo wote, ndo maana hata CCM wenyewe hawajielewi.
 
Tatizo ni mchaga. Wachaga hawafai wale. Wanaubaguzi, ubinafsi na hawana upendo kwa mtu yeyote isipokuwa wao wenyewe. Siku mkipma mchaga uongozi wa nchi, mambo ya wakikikuyu dhidi ya wengine yaliyokenya, yanahamia hapa. Hatutaki.

Na kama hataondoa ukbalia kwenye chama chake, atabaki kuwa mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani bungeni maisha yote lakini hawawi viongozi wa nchi Ng'o!.

La kufanya ni vizuri watathmini muundo wa chama chao, waimarishe kwa kuruhusu mchanganyiko mzuri wa uongozi wa juu wa chama hadi chini, wateue mgombea asiye mchaga, na bila shaka watu watakichagua kwa kuwa walishachoka na zimwi ccm. Lakini kinyume cha pale, watu wanaoan bora zimwi likujualo.

CHADEMA rekebisheni mifumo na ukabila kwenye chama chenu, vinginevyo,wtu watafurahia kuibiwa kwenu kura ili wasiwe chini ya wachuuzi, wachaga, looters, wabaguzi, wabinafsi, wenye upendeleo na ujasiri wa kifisadi wakiwa tayari kwa lolote hata kama llina gharama gani ili wapate fedha. Tutakwisha, na kila kitu chetu hata vilivyosalia vitakwisha. Htuwezi kuruka mkojo tukaangukia kwenye m.a.v.
Akili matope tupu
 
"Age is just a number.".

Hizo rekodi zako za miaka unazoziweka labda hadi za kina Dr. Msukuma, Dr. Jaffo, Dr. Majaliwa au Dr. Vitendo hazina tija yoyote mjomba.

Hiiiiii bagosha!
Dr Msukuma Kasheku!!!!!

Very soon tutakuja na Dr Jah People
 
Nimeongea ki ukweli sana. WAchaga si watu wa kuwapa nchi. Wanaweza sana kushika nyadhida za juu za serikali wakiwa chini ya mamlaka dhibiti, lakii si kuwaacha wao ndio wawe vingozi wa nchi. TUMEKWISHA.
Wewe ni mbulula sana kiakili na ni mbaguzi mshenzi
 
Tanzania patakuwa mahali pabaya pa kuishi kama Mbowe atakuwa Rais. Nenda kaangalie historia yake kwenye familia ya Mzee Aikaeli Mbowe, utagundua kuwa amehodhi urithi wote peke yake na familia yake.

Nenda kamuangalie anavyoendesha CHASEMA, utagundua ni kama duka lake binafsi. Yeye ndiye anachagua wachagga wenzie kuwapa viti maalum including mahawara zake. Yeye hakubali uchaguzi wa kugombea kiti cha Mwenyekiti kuanzia alipochukua kwa Bob Makani mwaka 2003.

Freeman Mbowe ndiye anaiuzia magari mabovu CHADEMA na hakuna wa kumhoji. Kifupi Mbowe atakuwa DIKTETA mbaya kuliko Magufuli
Akili za ukilaza kutoka kwa kilaza mkuu wa mavilaza.
 
Wapi aliwanyooshea wasukuma? Weka vyanzo.

Wapi nimeongea habari za mtu mwingine? Sina mpango.

Nimeandika kwa ufahamu na uelewa wangu wa moja kwa moja kwa kuwa naifahamu Tanganyika na hsitoria yake na tabia za matabaka yetu.

Usinipeleke nisikokujua.
Sukuma gang mtanyooka tu safari hii
 
huyo bonge nyanya wa ccm hata akisimamishwa na kingwendu anapigwa asubuhi kweupe.
 
🤣🤣🤣🤣🤣

Mjombaa eee kwa hiyo MBOWE ni bora zaidi ya Samia ?!!😳😳

Ubora wa hulka njema ,staha ya kweli ,huruma na kupenda haki na usawa u

View attachment 2048394
wafikie wale wanaomzunguka ?!!!

Mjombaeee Mbowe humjui peke yako 🤣🤣

Wapi nimesema Mbowe ni bora zaidi kuliko Samia au hata kuliko nani?

Nimesema sote sisi ni watanzania. Tuache kila mtu atupe karata yake kwa uhuru na haki, kama vipi ukiwamo pia wewe ukitaka.

Aliye bora zaidi kwenye mchakato huo ataibuka mshindi kama walivyo patikana kina Obama.

Kwamba kuna wachezaji caliber za kina Messi, lakini nanyi kina Samatta mmeng'ang'ania namba? Hamuoni hata aibu wajameni?

Zaidi sana huo ni usaliti!

Kwamba hamtaki mchakato ulio huru, wa haki na wenye kuaminika, basi nyote na genge lenu mmedhamiria kutubambikia mtu feki.

Tuna stahili kilicho bora!
 
Tatizo ni mchaga. Wachaga hawafai wale. Wanaubaguzi, ubinafsi na hawana upendo kwa mtu yeyote isipokuwa wao wenyewe. Siku mkipma mchaga uongozi wa nchi, mambo ya wakikikuyu dhidi ya wengine yaliyokenya, yanahamia hapa. Hatutaki.

Na kama hataondoa ukbalia kwenye chama chake, atabaki kuwa mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani bungeni maisha yote lakini hawawi viongozi wa nchi Ng'o!.

La kufanya ni vizuri watathmini muundo wa chama chao, waimarishe kwa kuruhusu mchanganyiko mzuri wa uongozi wa juu wa chama hadi chini, wateue mgombea asiye mchaga, na bila shaka watu watakichagua kwa kuwa walishachoka na zimwi ccm. Lakini kinyume cha pale, watu wanaoan bora zimwi likujualo.

CHADEMA rekebisheni mifumo na ukabila kwenye chama chenu, vinginevyo,wtu watafurahia kuibiwa kwenu kura ili wasiwe chini ya wachuuzi, wachaga, looters, wabaguzi, wabinafsi, wenye upendeleo na ujasiri wa kifisadi wakiwa tayari kwa lolote hata kama llina gharama gani ili wapate fedha. Tutakwisha, na kila kitu chetu hata vilivyosalia vitakwisha. Htuwezi kuruka mkojo tukaangukia kwenye m.a.v.
Wachaga hawafai kupewa hata ubalozi wa Nyumba kumi. Tatizo ni uchagaa ni very tribalism
 
Kwani wewe kila unacho comment lazima kiwe na effect kwenye personal life yako?
Inaonekana umetoa hiyo comment makusudi kabisa na kwa uzito mkubwa.

Inaonyesha una ajenda iliyo nyuma ya pazia juu ya mh Mbowe.
 
Ukipita huku mtaani watu wanashauku sana na uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi wa kimkakati, Kati ya chadema na Ccm.
Kama hakutakuwa na uwizi wa kura na magumashi basi mpambano utakuwa mkali kuliko ule wa magufuli na lowasa.
Ni mpambano uliojificha ndani ya migogoro ya muungano, watu moyoni wanalao Jambo, matatizo ya muungano ndo yatakayoamua nani awe Rais wa Tanganyika(TZ), ikiruhusiwa mikutano ya siasa basi Zanzibar uru inaweza kupatikana 2025.
Navyoona utakuwa ni mpambano Kati ya Samia na Mbowe.
Tunaomba Mikutano iruhusiwe na kesi zifutwe Ili tuanze kupambana mapema kuelekea 2025.

Lazma watanzania wa Bata na Zanzibar msiruhusu Dola kuiba uchaguzi Ili tumpate Rais halali na anayependwa na wengi
Kituko mbowe awe rais wa tz? Ha ha ha

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom