Kuna Kila Dalili Mbowe akawa Rais wa Tanganyika(TZ) 2025, jela Tu ndo itamzuia

Unajuwa Chacha Wangwe alikwenda wapi? Ni sababu gani Zitto Kabwe na wenzie zilizowatoa CHADEMA?

Je Fredrick Sumaye alipoambiwa asipime ukali wa sumu kwa kuonja na ulimi ilikuwa na maana gani?
 
Nakataa Mbowe kuwa Rais 2025 ila kina wasukuma wajinga humu wanatoa kauli za kijinga kubagua wachaga.
Sasa msikie wachaga pekee nchi hii ndio kabila lenye akili na wanaochangamsha makabila majinga mengine. Tuko kila mahali kila idara
Kilimanjaro ni nchi ya ahadi Tanzania nzima. NDEGELESIII
 
Fisi kama FISI
 
Labda akawe Rais wa mkewe na familia yake.
 
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie. Huyo mlevi wa konyagi ndio awe rais? Kweli ndoto ni nzuri sana.
 
Mama bado auziki nchini,ccm hawana mtu mpya anaeuzika kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…