Uchaguzi 2020 Kuna kila dalili Membe kumuunga mkono Lissu iwapo atapitishwa

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter, huku Zitto akii-retweet twitter hiyo.

Tweet husika ni hii:

"Sijiungi upinzani kutafuta uongozi bali kushirikiana na wapinzani wa kweli kulinda demokrasia na kuleta mabadiliko, haki, utawala bora unaofuata sheria. Tundu Lissu akipitishwa nitashirikiana nae na viongozi wengine katika uchaguzi”

Mhusika kaandika Maneno hayo na kuweka picha ya Membe.

Tweet nyingine ni hii:

CHADEMA watamsimamisha
@TunduALissu
mgombea Urais 2020 & mgombea mwenza wa Lissu atatoka Zanzibar.
@ACTwazalendo
hawatasimamisha mgombea lakini
@BenMembe
atakuwa mshauri & strategist kumsaidia Lissu; CCM watamsimamisha JPM & Samia SULUHU
 
Hii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter,huku Zitto akii-retweet twitter hiyo.

Tweet husika ni hii:

"Sijiungi upinzani kutafuta uongozi bali kushirikiana na wapinzani wa kweli kulinda demokrasia na kuleta mabadiliko, haki, utawala bora unaofuata sheria. Tundu Lissu akipitishwa nitashirikiana nae na viongozi wengine katika uchaguzi”

Mhusika kaandika Maneno hayo na kuweka pichai ya Membe.
Shiiiiii! Mipango ni bambam. Jiwe tutalipiga nyundo za nyaraka hadi likome. Kuanzia stiglaz, flayi over, yani kila angle limefanya ushenzi wa kutupwa!
 
Mgombea wa uhakika na aliejipanga ni Nyalandu lakini bado mnahangaika na Lissu wakati inajulikana Kuna asilimia ndogo Sana kwa Lisu kusimama jukwaani na kuomba kura.

Huu utawala hautaruhusu kitu kama hicho kamwe.
 
Shiiiiii! Mipango ni bambam. Jiwe tutalipiga nyundo za nyaraka hadi likome. Kuanzia stiglaz, flayi over, yani kila angle limefanya ushenzi wa kutupwa!
Utashangaa nyundo inakuangukia wewe hahahaha
Tena nyundo ya kichwa
 
Hii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter,huku Zitto akii-retweet twitter hiyo.

Tweet husika ni hii:

"Sijiungi upinzani kutafuta uongozi bali kushirikiana na wapinzani wa kweli kulinda demokrasia na kuleta mabadiliko, haki, utawala bora unaofuata sheria. Tundu Lissu akipitishwa nitashirikiana nae na viongozi wengine katika uchaguzi”

Mhusika kaandika Maneno hayo na kuweka pichai ya Membe.
Zitto atakubali?!
 
Combination hii ndiyo ambayo wapenda nchi wengi wanayoisubiri.

Kwa hakika combination hii ikiwa ita materialize, Lumumba tutatafutana na heshima itarejea mjini!
 
Back
Top Bottom