Uchaguzi 2020 Kuna kila dalili Membe kumuunga mkono Lissu iwapo atapitishwa

Sijui kwa wengine, ila kwangu sina Imani, wala simkubali mtu yoyote toka ccm. Wangalau kama ametoka ccm, iwe amehudumu upinzani sio chini ya 5 consecutive yrs. Kinyume na hapo kwangu ni ngumu.
Wale walioamia ccm walihudumu miaka mingapi? Siasa ni maslahi regardless ya jina la chama.
 
Ndio maana pale juu nikasema sijui kwa wengine. Mimi binafasi sio muumini na siasa hizo za kuhama kutoka chama kimoja, na kurudi kingine kwa lugha ya kwenda kuunga juhudi. Kama siasa ni maslahi, basi ni ya chama na sio ya sisi wapiga kura. Tunajitambua vya kutosha boss.
 
Ts either wapiga kura wengi wanaridhika sana na utawala au Wapiga kura wachache sana ndo wanajitambua. Tofauti na hapo utawala usingekuwa huu. Usiseme polisi maana polisi hawawezi zuia watu wengi wanaojitambua.
 
Wengi wa wapiga kura wanaojitambua wanaoongozwa na hofu. Hivyo kujitambua, na kuwa na ujasiri wa kujitoa muhanga ni jambo jingine. Jitahidi utofautishe hizi hali mbili. Kimsingi kujitambua ni hatua ya awali kabisa, kisha kujenga hali ya kujitoa muhanga huja baada ya kuchoka kabisa. Sasa hivi tuko kwenye hatua ya awali ya kujitambua.
 
Ok. Sahihi kabisa. Sasa angalia mfumo wa uongozi wa ccm, muangalie mwinyi halafu njoo mwangalie mkapa halafu kikwete halafu Magufuli kisha bashiri anayefata atakuwa wa aina gani halafu jiulize ni lini watu watachoka. Wanachokifanya ni kuubadili upepo kila baada ya 10years ili wananchi wapate matumaini mapya. Wakiachana na huu utaratibu watakuwa kwenye hatari kubwa ya kupotea.
 
Mgombea wa uhakika na aliejipanga ni Nyalandu lakini bado mnahangaika na Lissu wakati inajulikana Kuna asilimia ndogo Sana kwa Lisu kusimama jukwaani na kuomba kura.

Huu utawala hautaruhusu kitu kama hicho kamwe.
Mwinyi alisema sisi ni kichwa cha mwendawazimu alikosea, alipaswa kusema chadema ni wendawazimu!!

mimi naboreka mno na kusikia kutapika kusoma habari za mtu mshamba na mbinafsi toka Singapore ambae hayupo nchini na akija anaishia kunyea ndoo jela , mtu ambae bahati mbaya ajali imemkuta na sasa ni mlemavu ambae hawezi tena kusimama jukwaani kujinadi wala kufanya kazi za siasa!!

chadema acheni upumbavu wa kutuambia kila kukicha habari za mzimu usiokuwepo nchini tupeni heshma zetu tuambieni tu kuhusu waliopo kama mwizi wa twiga Nyalandu na wengine
 
Labda Kuna maboya wanapoteza, lakini kiuhalisia kumpigia hesabu Lissu ni kupoteza muda tu.
 
Hata mimi ninamshauri Membe kama kweli ana nia ya kuja kuing'oa CCM basi asikimbilie kugombea mwaka huu bali awaunge mkono wapinzani ili hata kama hawatashinda bado atakuwa amejijengea mtaji wa kuungwa mkono 2025, tena mwaka 2025 anaweza kuungwa mkono na vyama vingine vingi zaidi ambavyo katika uchaguzi huu vimeshaingizwa mkenge kusaliti upinzani, lakini baada ya uchaguzi ndipo vitajua jinsi vilivyotumika hovyo kama flyipan inavyounguzwa motoni kukaanga mayai huku walaji wakiwa wengine! Hawa watarudi wote kuunganisha nguvu. Hii ni hesabu nyepesi tu ambayo kama Membe ataitumia vema basi siku za CCM madarakani zitakuwa zinahesabika!
 
Hii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter, huku Zitto akii-retweet twitter hiyo.

Tweet husika ni hii:

"Sijiungi upinzani kutafuta uongozi bali kushirikiana na wapinzani wa kweli kulinda demokrasia na kuleta mabadiliko, haki, utawala bora unaofuata sheria. Tundu Lissu akipitishwa nitashirikiana nae na viongozi wengine katika uchaguzi”

Mhusika kaandika Maneno hayo na kuweka picha ya Membe.

Tweet nyingine ni hii:

CHADEMA watamsimamisha
@TunduALissu
mgombea Urais 2020 & mgombea mwenza wa Lissu atatoka Zanzibar.
@ACTwazalendo
hawatasimamisha mgombea lakini
@BenMembe
atakuwa mshauri & strategist kumsaidia Lissu; CCM watamsimamisha JPM & Samia SULUHU
Membe kishaagiza mjiunge
 
Ok. Sahihi kabisa. Sasa angalia mfumo wa uongozi wa ccm, muangalie mwinyi halafu njoo mwangalie mkapa halafu kikwete halafu Magufuli kisha bashiri anayefata atakuwa wa aina gani halafu jiulize ni lini watu watachoka. Wanachokifanya ni kuubadili upepo kila baada ya 10years ili wananchi wapate matumaini mapya. Wakiachana na huu utaratibu watakuwa kwenye hatari kubwa ya kupotea.

Inaonekana bado hujaelewa vizuri, safari hii hayo mambo ya mwisho miaka 10 hayapo. Nilidhani hili imeliona.
 
I HAVE A DREAM.
MR. BERNAD MEMBE IS NOT PRESIDENTIAL CANDIDATE.
He is going to give support to either Tundu lisu or Lazaro Nyalandu.
 
Cdm wazee wa mbeleko.yani bila membe na Act hawawezi piga hata atua moja.
kwa taarifa yenu Zito hawezi kubali kuwa mkia kwa Chadema.
 
Labda Kuna maboya wanapoteza, lakini kiuhalisia kumpigia hesabu Lissu ni kupoteza muda tu.

Chadema wengi wameweka matumaini kwa lisu. Asipokuja kushiriki uchaguzi kama alivyoahidi, atakuwa amewakatisha tamaa na kusababisha wengi wao wasusie hata kupiga kura.

Guess what the outcome will be!
 
Hii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter, huku Zitto akii-retweet twitter hiyo.

Tweet husika ni hii:

"Sijiungi upinzani kutafuta uongozi bali kushirikiana na wapinzani wa kweli kulinda demokrasia na kuleta mabadiliko, haki, utawala bora unaofuata sheria. Tundu Lissu akipitishwa nitashirikiana nae na viongozi wengine katika uchaguzi”

Mhusika kaandika Maneno hayo na kuweka picha ya Membe.

Tweet nyingine ni hii:

CHADEMA watamsimamisha
@TunduALissu
mgombea Urais 2020 & mgombea mwenza wa Lissu atatoka Zanzibar.
@ACTwazalendo
hawatasimamisha mgombea lakini
@BenMembe
atakuwa mshauri & strategist kumsaidia Lissu; CCM watamsimamisha JPM & Samia SULUHU
Swaafi...pia tunawasubiri wale 6 walionyuma ya Membe....

CCM si msahafu....CCM si Biblia..CCM si baba yangu wala mama!! Nikitaka naipiga chini tu liwalo na liwe....kinachotangulia ni maslahi ya nchi kwanza.
 
Back
Top Bottom