Acha kuweka mbele matamanio ya nafsiHii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter, huku Zitto akii-retweet twitter hiyo.
Sasa hivi chadema mmefikia kuomba huruma ya Zitto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuweka mbele matamanio ya nafsiHii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter, huku Zitto akii-retweet twitter hiyo.
Tena bila aibu, ha ha ha....Sasa hivi chadema mmefikia kuomba huruma ya Zitto?
Ni bora kubaki na jino bovu kuliko kutumia jitihada kubwa kung'oa jino ilihali hujapata jino bandia...Lisu namheshimu sana, sina shaka naye kabisa upstairs plus uwezo wake wa kuibua na kusimamia kila anachokiamini...BM as well sina neno baya kwake ila kiukweli Jiwe alichanga karata zake mapema na yeye ndiye kashikilia kete zote muhimu hivyo basi kwa mwaka huu nadhani waingie tu ulingoni kujaza CV na kuandaa tasnifu zao! Huwezi Kubet mtanange wa Manzese FS Vc Bayern Munich kisha umpe ushindi Manzese hata kama Manzese angepewa 1000 dhidi ya 3Huu muunganiko wa Lissu, Membe una baraka zote kutoka kwa Mwenyezi Mungu
Endeleeni kujifariji, Membe ana kazi maalum huko upinzani mjandae kisaikolojia!!
Watu watake kukutoa roho, na Mungu wako akatae, halafu wageuke hao hao wakubambikizie mastaka; kama huu sio ushetani ni kitu gani?Wakimuweka mahabusu itakuwa zinga la promo kwa Lissu
Eeenh, nimekusoma mkuu 'Horseshoe Arch' - interesting name, as is the way of your reasoning as expressed above!Ni bora kubaki na jino bovu kuliko kutumia jitihada kubwa kung'oa jino ilihali hujapata jino bandia...Lisu namheshimu sana, sina shaka naye kabisa upstairs plus uwezo wake wa kuibua na kusimamia kila anachokiamini...BM as well sina neno baya kwake ila kiukweli Jiwe alichanga karata zake mapema na yeye ndiye kashikilia kete zote muhimu hivyo basi kwa mwaka huu nadhani waingie tu ulingoni kujaza CV na kuandaa tasnifu zao! Huwezi Kubet mtanange wa Manzese FS Vc Bayern Munich kisha umpe ushindi Manzese hata kama Manzese angepewa 1000 dhidi ya 3
AminaEeh mola wetu ukazisikie sala zetu.
Hii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter, huku Zitto akii-retweet twitter hiyo.
Tweet husika ni hii:
"Sijiungi upinzani kutafuta uongozi bali kushirikiana na wapinzani wa kweli kulinda demokrasia na kuleta mabadiliko, haki, utawala bora unaofuata sheria. Tundu Lissu akipitishwa nitashirikiana nae na viongozi wengine katika uchaguzi”
Mhusika kaandika Maneno hayo na kuweka picha ya Membe.
Tweet nyingine ni hii:
CHADEMA watamsimamisha
@TunduALissu
mgombea Urais 2020 & mgombea mwenza wa Lissu atatoka Zanzibar.
@ACTwazalendo
hawatasimamisha mgombea lakini
@BenMembe
atakuwa mshauri & strategist kumsaidia Lissu; CCM watamsimamisha JPM & Samia SULUHU
Kajipanga yeye, je wanachama na chama chake kimeamua? Mkuu tusubiri vikao viamue.Mgombea wa uhakika na aliejipanga ni Nyalandu lakini bado mnahangaika na Lissu wakati inajulikana Kuna asilimia ndogo Sana kwa Lisu kusimama jukwaani na kuomba kura.
Huu utawala hautaruhusu kitu kama hicho kamwe.
Hii ni mikakati ya kisiasa. Nyalandu ni safisha njia ya Lissu kumbukeni hyu jamaaa aliondoka Chama kile eti tu kwenda kumwona jiran yake likawa kosa. Sasa mkakati Lisu akifka tu lile basi litageuka na kupakwa Jina la Lissu na dereva akiwa Nyalandu.subilini mtaona hawa jamaa watakapocheza gemu kisomi!!Mbona nimesikia Nyalandu anasimama kwa urais au nimepata fake information?
Ujinga huu mtaacha lini...at yupo kaziniEndeleeni kujifariji, Membe ana kazi maalum huko upinzani mjandae kisaikolojia!!
Uzuri kila uchaguzi wapinzani huwa mnakuja na tumaini jipyaHii ni mikakati ya kisiasa. Nyalandu ni safisha njia ya Lissu kumbukeni hyu jamaaa aliondoka Chama kile eti tu kwenda kumwona jiran yake likawa kosa. Sasa mkakati Lisu akifka tu lile basi litageuka na kupakwa Jina la Lissu na dereva akiwa Nyalandu.subilini mtaona hawa jamaa watakapocheza gemu kisomi!!
Hayupo kazini mkuu! Ila yupo kuisaidia chadema na act kumtoa jiwe, kama ilivyokuwa kwa Lowasa 2015Ujinga huu mtaacha lini...at yupo kazini
Minger..
Hii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter, huku Zitto akii-retweet twitter hiyo.
Tweet husika ni hii:
"Sijiungi upinzani kutafuta uongozi bali kushirikiana na wapinzani wa kweli kulinda demokrasia na kuleta mabadiliko, haki, utawala bora unaofuata sheria. Tundu Lissu akipitishwa nitashirikiana nae na viongozi wengine katika uchaguzi”
Mhusika kaandika Maneno hayo na kuweka picha ya Membe.
Tweet nyingine ni hii:
CHADEMA watamsimamisha
@TunduALissu
mgombea Urais 2020 & mgombea mwenza wa Lissu atatoka Zanzibar.
@ACTwazalendo
hawatasimamisha mgombea lakini
@BenMembe
atakuwa mshauri & strategist kumsaidia Lissu; CCM watamsimamisha JPM & Samia SULUHU
Vipi kuhusu Nyalandu nae ni aina ya Lowasa na Membe