KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
There you have it!"Sijiungi upinzani kutafuta uongozi bali kushirikiana na wapinzani wa kweli kulinda demokrasia na kuleta mabadiliko, haki, utawala bora unaofuata sheria. Tundu Lissu akipitishwa nitashirikiana nae na viongozi wengine katika uchaguzi”
Sasa kunja shati, kazi ya kweli kweli ianze.
Hapa si lelemama, itakuwa kazi ngumu, lakini kazi inayowezekana.
Wananchi wakiwaelewa, jasho lenu watalifuta na kuwaweka kwenye historia ya nchi yetu.
KAZI NA IANZE, KWANI MUDA NI MCHACHE.