Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,541
- 3,521
Hata akisimama shetani kugombea na jiwe tutamuungA mkono shetani, akishashinda tutakaa naye tuone tunam-convice vp atubu na kuungana na wana wa Mungu(CHADEMA).Tutamuunga mkono yoyota yule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata akisimama shetani kugombea na jiwe tutamuungA mkono shetani, akishashinda tutakaa naye tuone tunam-convice vp atubu na kuungana na wana wa Mungu(CHADEMA).Tutamuunga mkono yoyota yule.
Hiyo haina ubishi mkuu, hii ni habari nzr sana kwa wapenda demokrasia na maendeleo ya nchi yetu...hao wazee wa b7 fc acha waendelee na mapambio yao ya kusifu na kuabuduHii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter, huku Zitto akii-retweet twitter hiyo.
Tweet husika ni hii:
"Sijiungi upinzani kutafuta uongozi bali kushirikiana na wapinzani wa kweli kulinda demokrasia na kuleta mabadiliko, haki, utawala bora unaofuata sheria. Tundu Lissu akipitishwa nitashirikiana nae na viongozi wengine katika uchaguzi”
Mhusika kaandika Maneno hayo na kuweka picha ya Membe.
Tweet nyingine ni hii:
CHADEMA watamsimamisha
@TunduALissu
mgombea Urais 2020 & mgombea mwenza wa Lissu atatoka Zanzibar.
@ACTwazalendo
hawatasimamisha mgombea lakini
@BenMembe
atakuwa mshauri & strategist kumsaidia Lissu; CCM watamsimamisha JPM & Samia SULUHU
Mkuu mimi simpingi Lissu, Ila iko wazi Lissu kupewa Uhuru wa kugombea na huu utawala ni ndoto ya Mchana Lissu mwenyewe anajua.Wewe jamaa nilishashindwa kukuelewa. Hivi uko upande gani ccm au upinzani? CHADEMA walio wengi wanamtaka Lisu ila wewe huishiwi ngojera za kumpinga Lisu.
Mwaka huu itapiga, subiri utaona!Twitter hapigi kura!
Wewe ndiye niliyekuelewa peke yako...Maigizo yanaendelea....
atajijengea heahima kubwa sana .Hii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter, huku Zitto akii-retweet twitter hiyo.
Tweet husika ni hii:
"Sijiungi upinzani kutafuta uongozi bali kushirikiana na wapinzani wa kweli kulinda demokrasia na kuleta mabadiliko, haki, utawala bora unaofuata sheria. Tundu Lissu akipitishwa nitashirikiana nae na viongozi wengine katika uchaguzi”
Mhusika kaandika Maneno hayo na kuweka picha ya Membe.
Tweet nyingine ni hii:
CHADEMA watamsimamisha
@TunduALissu
mgombea Urais 2020 & mgombea mwenza wa Lissu atatoka Zanzibar.
@ACTwazalendo
hawatasimamisha mgombea lakini
@BenMembe
atakuwa mshauri & strategist kumsaidia Lissu; CCM watamsimamisha JPM & Samia SULUHU
Utaumia sana!Membe hana huo ujinga wa eti aje kusindikiza wenzake, angetaka hivyo angebaki CCM.
Huu muunganiko wa Lissu, Membe una baraka zote kutoka kwa Mwenyezi Mungu
Kweli kabisa ni kama ule wa lowasa na kingungeHuu muunganiko wa Lissu, Membe una baraka zote kutoka kwa Mwenyezi Mungu
Utaumia sana!
KabisaHuu muunganiko wa Lissu, Membe una baraka zote kutoka kwa Mwenyezi Mungu
Nyalandu huyu huyu aliyekuwa akivinjari na akina anti Ezekieli Ulaya wakati akiwa Waziri wa maliasili??Mgombea wa uhakika na aliejipanga ni Nyalandu lakini bado mnahangaika na Lissu wakati inajulikana Kuna asilimia ndogo Sana kwa Lisu kusimama jukwaani na kuomba kura.
Huu utawala hautaruhusu kitu kama hicho kamwe.
Kama wanataka civil unrest wajaribu kufanya huu upuuzi. Afrika matatizo yaanziaga kwenye chafu I sasa kama CCM na magu wanataka kujaribu simu kwa kuionja wajaribu kufanya huu upuuzi. Watakuwa wamechoka sana amaniMkuu mimi simpingi Lissu, Ila iko wazi Lissu kupewa Uhuru wa kugombea na huu utawala ni ndoto ya Mchana Lissu mwenyewe anajua.
Vyombo vya dola vina mengi ya kuongea na Lissu kabla ya kupata nafasi kugombe Urais.
Kwa anaejua siasa za visasi za Magufuli na anavyomwogopa Lisu haiwezi kukusumbua kubaini hilo.
Lisu akitua Tanzania huenda asilale hata Nyumbani kwake, Cha kwanza lazima wachukue passport yake halafu kwa hii miaka mitano ya Magufuli huenda amalizia kuwa mwenyeji kwenye viunga vya mahakama.
Mgombea wa uhakika na aliejipanga ni Nyalandu lakini bado mnahangaika na Lissu wakati inajulikana Kuna asilimia ndogo Sana kwa Lisu kusimama jukwaani na kuomba kura.
Huu utawala hautaruhusu kitu kama hicho kamwe.
CCM wameweka mapandikizi yao humu jamvini kazi zao ni kutoa comments za kuufanya umma wakate tamaa na Lissu.Nyalandu huyu huyu aliyekuwa akivinjari na akina anti Ezekieli Ulaya wakati akiwa Waziri wa maliasili??