Kwanza hili wazo la Lissu kuwekwa mahabusu ni kampeni mbovu mnazozileta hapa kutishia watu.
CHADEMA ni lazima wasikubali kutishiwa na maigizo haya mnayotumwa kuja kuyaeneza hapa. Ni lazima wasimame imara, kama wataamua kuwa ndiye wanayemtaka awe mgombea wao wa kiti cha urais, basi ijulikane hivyo na wasibabaishwe.
Wanachotakiwa kuchambua sasa hivi ni sheria zinazohusika bila kujali vitisho. Wkijiridhisha kuwa hakuna sheria zinazozuia Lissu kusimama, basi wawe na msimamo kulitetea hilo kwa nguvu zote bila kujali mgombea wa CCM anataka nini.
CHADEMA haiwezi kusikiliza CCM wanataka nini ili kumpitisha mgombea wao Lissu.
Lissu amefanya kosa gani hadi wapuuzi hawa walete vitisho vyao hapa.