Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Shiiiiii! Mipango ni bambam. Jiwe tutalipiga nyundo za nyaraka hadi likome. Kuanzia stiglaz, flayi over, yani kila angle limefanya ushenzi wa kutupwa!Hii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter,huku Zitto akii-retweet twitter hiyo.
Tweet husika ni hii:
"Sijiungi upinzani kutafuta uongozi bali kushirikiana na wapinzani wa kweli kulinda demokrasia na kuleta mabadiliko, haki, utawala bora unaofuata sheria. Tundu Lissu akipitishwa nitashirikiana nae na viongozi wengine katika uchaguzi”
Mhusika kaandika Maneno hayo na kuweka pichai ya Membe.
Matamanio ya kijinga kabisaShiiiiii! Mipango ni bambam. Jiwe tutalipiga nyundo za nyaraka hadi likome. Kuanzia stiglaz, flayi over, yani kila angle limefanya ushenzi wa kutupwa!
Makubwaaaa!!!!Huu muunganiko wa Lissu, Membe una baraka zote kutoka kwa Mwenyezi Mungu
Kwani naongea matamanio? Naongea mipango ambayo imeshapangika!Matamanio ya kijinga kabisa
Nimekusoma.Salary Slip usiongee sana yaliyoko jikoni, kunguru ni wengi wana nusanusa.
Utashangaa nyundo inakuangukia wewe hahahahaShiiiiii! Mipango ni bambam. Jiwe tutalipiga nyundo za nyaraka hadi likome. Kuanzia stiglaz, flayi over, yani kila angle limefanya ushenzi wa kutupwa!
Tutamuunga mkono yoyota yule.Mgombea wa uhakika na aliejipanga ni Nyalandu lakini bado mnahangaika na Lissu wakati inajulikana Kuna asilimia ndogo Sana kwa Lisu kusimama jukwaani na kuomba kura.
Huu utawala hautaruhusu kitu kama hicho kamwe.
Tukijifariji wewe unapata maumivu gani?Makubwaaaa!!!!
Endeleeni kujifariji, na unyumbu wenu
Huu muunganiko wa Lissu, Membe una baraka zote kutoka kwa Mwenyezi Mungu
Zitto atakubali?!Hii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter,huku Zitto akii-retweet twitter hiyo.
Tweet husika ni hii:
"Sijiungi upinzani kutafuta uongozi bali kushirikiana na wapinzani wa kweli kulinda demokrasia na kuleta mabadiliko, haki, utawala bora unaofuata sheria. Tundu Lissu akipitishwa nitashirikiana nae na viongozi wengine katika uchaguzi”
Mhusika kaandika Maneno hayo na kuweka pichai ya Membe.
🙏🏾Eeh mola wetu ukazisikie sala zetu.
Roho inakuuma?Zitto atakubali?!
Hii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter,huku Zitto akii-retweet twitter hiyo.