Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
UFafanuzi hapa
SureLet's wait and see
Na akili isipo tumika inaondoka🤣🤣🤣
Generation WMwanamke wa wapi
Umewaza kupitia nini mkuu, hujui ni mwanamke 1 ndie anae tusumbua vichwa muda huu, we bado unaongeza wengine, mwanamke ni mwanamke tu...Ladies and Gentlemen. Brothers and sisters. Our case is different.
Kama kichwa kisemavyo, naona kabisa vuguvugu hili likianzia kwa kinamama na kinadada wa Taifa hili. Sio kwamba wanaume wameshindwa, bali wanawindwa kwa hamasa kubwa hadi kupelekea woga mwingi.
Habari njema ni kuwa wao watachukua na kuendeleza pale ambapo kinamama wameishia. Hivyo nitawapa jina hili; Generation W (tamka Wii). W for Women.
Naishia hapo
uzuri inakuba both sides. Kwa ubaya wake watu wana hasir, na inapelekea kwenye mabadiliko. Kadhalika kwa wingi wao na uthubutu wao wataanzisha vuguvugu.Umewaza kupitia nini mkuu, hujui ni mwanamke 1 ndie anae tusumbua vichwa muda huu, we bado unaongeza wengine, mwanamke ni mwanamke tu...
Wanaume wa Tanzania hata mimi nikiwemo tunapaswa kuvaa gauni na wanawake wa van suruali. Haiwezekani taifa lenye wanaume kamili likatawaliwa na ccm kwa miaka 60. Kwenye hali ya kifukara kwa kiwango hiki.Ladies and Gentlemen. Brothers and sisters. Our case is different.
Kama kichwa kisemavyo, naona kabisa vuguvugu hili likianzia kwa kinamama na kinadada wa Taifa hili. Sio kwamba wanaume wameshindwa, bali wanawindwa kwa hamasa kubwa hadi kupelekea woga mwingi.
Habari njema ni kuwa wao watachukua na kuendeleza pale ambapo kinamama wameishia. Hivyo nitawapa jina hili; Generation W (tamka Wii). W for Women.
Naishia hapo
Wanamsapot kwa sababu wanajua ni rahisi kumtawala na kujipatia faida kupitia kwake na si vinginevyo...uzuri inakuba both sides. Kwa ubaya wake watu wana hasir, na inapelekea kwenye mabadiliko. Kadhalika kwa wingi wao na uthubutu wao wataanzisha vuguvugu.
Ijulikane pia kuwa wanaomsapoti unayemzungumzia ni wanaume
Hakika. Naye kwa kujua hilo anapita humoumo kufanikisha mambo yakeWanamsapot kwa sababu wanajua ni rahisi kumtawala na kujipatia faida kupitia kwake na si vinginevyo...
Watagawanyika tu wakati ukifika ndipo tuanze kuona changesWanaume wa Tanzania hata mimi nikiwemo tunapaswa kuvaa gauni na wanawake wa van suruali. Haiwezekani taifa lenye wanaume kamili likatawaliwa na ccm kwa miaka 60. Kwenye hali ya kifukara kwa kiwango hiki.
Wako wengi wataibukaMange au maria au yule aliyejitoa mhanga mahakamani?