Kuna kila dalili Samia Suluhu atakuwa Rais wa muhula mmoja pekee, dalili hizo ni hizi...

Point number moja nope. point namber 2 yes.
na ajijaribu kutaka kuwa na kundi fulani. huko ndio atajiponza kabisa.
 
Lazima aanze kuwateua akina January kama anataka kufika mbali
Ngoja tuone baada ya kuukwaa Uwenyekiti wa Chama ... Kama unavyosema ni muhimu kwake kuwarudisha akina January, Nape ili wamsaidie kujiimarisha. Wachumia tumbo desidgn ya kina Polpole watakiwi kuwaamini!
 
Watu ambao hata Kikatiba muda wao umekwisha wanataka waongezewe muda...., Sembuse mtu aliyepo jikoni na Kikatiba inamlinda aendelee alafua aache ?, Maybe kama sio Afrika (au wamuondoe kwa figisu figisu)
 
Waendelee kumlusha tuone kama atafufuka..niuupuuzi tu umewajaa wapuuzi.
 
Ametangaza hadharani kuwa yeye ndiye rais wa awamu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Subiri achukue kiti cha mwenyekiti ndiyo utajiridhidha kuwa atatawala miaka 9 bila shaka yoyote. U naifahamu ccm sawa sawa? ??????
 
Watu ambao hata Kikatiba muda wao umekwisha wanataka waongezewe muda...., Sembuse mtu aliyepo jikoni na Kikatiba inamlinda aendelee alafua aache ?, Maybe kama sio Afrika (au wamuondoe kwa figisu figisu)
CCM Huwa hawajuagi kufuata katiba.
 
Namba Tatu...

Hakuna Rais wa hivi Karibuni atatoka nje ya kivuli cha Magufuli...

Na Yawezekana Serikali baada ya hii ya Samia, ikatolewa na Wananchi au Jeshi... Kifo cha Magufuli kimeonesha watu wanaweza Kuvunja wageti na milango inayolindwa na Polisi
 
Naomba kuuliza, Katiba inasema ukomo ni awamu 2 au miaka 10? Na Je, utawala wa Samia unatambulikana ni awamu ya tano au ya 6?
 
Ngoja tuone baada ya kuukwaa Uwenyekiti wa Chama ... Kama unavyosema ni muhimu kwake kuwarudisha akina January, Nape ili wamsaidie kujiimarisha. Wachumia tumbo desidgn ya kina Polpole watakiwi kuwaamini!
Aaaah wapi!!!!!
 
CCM ni majitu ya ajabu sana. Huyu mama kila anachofanya wanasema ni kazi ya Magufuli huyu anafuata nyayo tu. Anatekeleza tu.

Binafsi natamani sasa aanze kuibwa na kutajwa Samia. yeye mwenyewe samia asipojitetea ataendelea kuonekana ndani ya kivuli cha Magufuli.

Ajipambanue kuwa yeye sasa ni Rais kamili na hajamshikia mtu hicho kiti. yaani sasa hivi anaonekana kama vile anatumwa tu na "Magufuli" kwamba fanya hiki, fanye kile. Hii hatumtendei haki kabisa.
 
Hii nchi inawenyewe! Hata atawalaje wenyewe wakisema NYEUSI ni NYEUSI, wakisema HUDHURUNGI ni HUDHURUNGI.. Kama unabisha Muulize Mwendazake!
 
sasa si utaje huo upungufu wa hizo hoja? na hapa sijataja sula la media pekee,au hiyo akili yako kubwa ndio imeona hilo pekee
 
Magufuli alizikamata sana akili za MATAGA!.
 
Hakuna mwenye ubavu wa ku mchallenge hiyo 2025 hasa ikiwa pia atakua mwenyekiti wa chama

Magufuli alituonyesha namna rais alivyo na madaraka makubwa

Kwa hivyo attempt yoyote ya kuonyesha kua unakinyemelea kiti chake basi itatolewa oder tu na utashugulikiwa kama Membe na wenzake walivyoshugulikiwa

Panapo uhai na afya mama atakipiga mpaka 2030 .
 
Naomba kuuliza, Katiba inasema ukomo ni awamu 2 au miaka 10? Na Je, utawala wa Samia unatambulikana ni awamu ya tano au ya 6?
Katiba hijataja kuhusu hil mkuu ila Samia akitaka anaweza kujenga hoja na kusema hii ni awamu ya 6 na akapiga miaka 10, Zanzibar kule wanaita hii awamu ya mwinyi ni awamu ya 8 sababu kuna marais wengi hawakumaliza miaka 10, cha ajabu huku bara wanaita awamu ya 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…