Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Uchukue upeleke wapi?2025 , kuna dalili nyingi sana ambazo zinaonesha kuna uwezekano wa Upinzani kuchukua dola .
Kuna dalili 2025 kuna wana CCM kindaki ndaki wataihujumu CCM
Kuna dalili 2025 vyombo vya dola vikawa upande wa wananchi
Kuna dalili Asilimia kubwa ya wapiga kura wakawa vijana
Lakini sio siri CHADEMA ndiyo chama kikuu cha Upinzani na kuna kila dalili Mwenyekiti anatembea na maelekezo kutoka upande mwingine juu ya Uchaguzi wa 2025 .
Je kina lissu na wengine wataweza ?
Hata zito kabwe ?Hapa issue ni vyama vyote vya upinzani vimpe baraka Tundu lissu agombee 2025 njia nyeupe kabisa.
Labda upinzani against mbowe wa chakademus2025 , kuna dalili nyingi sana ambazo zinaonesha kuna uwezekano wa Upinzani kuchukua dola .
Kuna dalili 2025 kuna wana CCM kindaki ndaki wataihujumu CCM
Kuna dalili 2025 vyombo vya dola vikawa upande wa wananchi
Kuna dalili Asilimia kubwa ya wapiga kura wakawa vijana
Lakini sio siri CHADEMA ndiyo chama kikuu cha Upinzani na kuna kila dalili Mwenyekiti anatembea na maelekezo kutoka upande mwingine juu ya Uchaguzi wa 2025 .
Je kina lissu na wengine wataweza ?
Hili liko waziTangu Tundu Lissu aseme kuwa kuna Kiongozi Mwandamizi wa CHADEMA alienda na Abdul sebuleni kwake ili apewe Rushwa, na kuoneshwa orodha ya Viongozi wengine waliochukua "Mpunga" sina imani na Upinzani kama wanaweza kuchukua Dola.
Kinachoonekana ni kuwa kuna Viongozi Mamluki ndani ya Upinzani ambao wamechukua "Mpunga" na kuendelea kubaki kama Wapinzani huku wakiwa ni wavurugaji..
Na Mungu akayabariki matazamio yako.2025 , kuna dalili nyingi sana ambazo zinaonesha kuna uwezekano wa Upinzani kuchukua dola .
Kuna dalili 2025 kuna wana CCM kindaki ndaki wataihujumu CCM
Kuna dalili 2025 vyombo vya dola vikawa upande wa wananchi
Kuna dalili Asilimia kubwa ya wapiga kura wakawa vijana
Lakini sio siri CHADEMA ndiyo chama kikuu cha Upinzani na kuna kila dalili Mwenyekiti anatembea na maelekezo kutoka upande mwingine juu ya Uchaguzi wa 2025 .
Je kina lissu na wengine wataweza ?
HahahaCCM hawashindi uchaguzi labda washinde njaa.
Mimi nilidhani ndio ungejua kuwa upinzani uko vizuri.....kiasi cha kugawiwa fedha ili waachie ngazi maana yake wanayo hadhi.Tangu Tundu Lissu aseme kuwa kuna Kiongozi Mwandamizi wa CHADEMA alienda na Abdul sebuleni kwake ili apewe Rushwa, na kuoneshwa orodha ya Viongozi wengine waliochukua "Mpunga" sina imani na Upinzani kama wanaweza kuchukua Dola.
Kinachoonekana ni kuwa kuna Viongozi Mamluki ndani ya Upinzani ambao wamechukua "Mpunga" na kuendelea kubaki kama Wapinzani huku wakiwa ni wavurugaji..
π€£ CCM wanatumia mbeleko ya vyombo vya ulinzi na usalama ili kubaki madarakani.Hahaha
ππππVyombo vya ulinzi na usalama, vyombo vya dola ndio wanafiki namba 1 Tanzania. Wao wanatumika kuwabeba CCM kwenye uchaguzi hasa kuiba kura na kulinda watu wanaoharibu uchaguzi.
Wao ndio wanasababisha tuwe chini ya utawala wa watesi wetu. Hali ngumu, vijana hawana ajira. Hivi hao maaskari hawana maisha magumu, je watoto wa maaskari wote wana ajira?
Najua viongozi wengi wa vyombo vya dola mnatumia JF anzeni kujihoji juu ya halizenu, juu ya hatma ya watoto mliowasomesha kwa gharama kubwa na hawana ajira.
Muda umefika ninyi maaskari mkatae kutumika na ccm kuiba kura na kutesa watanzania wenzenu ambao lengo lao ni kututoa kwenye mateso makali ya ccm.
Kama vyombo vya ulinzi na usalama vikiamua kukataa kuiba kura, CCM hawashindi uchaguzi labda washinde njaa.
Ova
π€£ππππ
Ila vijana jiandikisheni ili mpige kuraπ€£ CCM wanatumia mbeleko ya vyombo vya ulinzi na usalama ili kubaki madarakani.
Kama vyombo vya ulinzi na usalama vikiamua kukataa kutumika na CCM kuiba kura, CCM hawashindi uchaguzi labda washinde njaa
Yeye si boya hilo liko wazi na ndiye anatukwamisha .Umeandika deep sana.
Aking'ang'ania kugombea, kitu inaenda upinzani. Na mgombea wa upinzani atatoka tena CCM!!
Kugombea Kisha usishinde ni sawa tu na " KUTOGOMBEA".
Mbowe Si boya, aaminiwe!!