😆😆😆Haaa docta ✋ usione kimya ...Sikuizi situmii dawa ya kuongeza nguvu za kiume ..mama yako nambinua 90¹degree bila shida yoyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆Haaa docta ✋ usione kimya ...Sikuizi situmii dawa ya kuongeza nguvu za kiume ..mama yako nambinua 90¹degree bila shida yoyote
Mnachoweza kuchukua nyie ni mademu na rushwa tuu2025 , kuna dalili nyingi sana ambazo zinaonesha kuna uwezekano wa Upinzani kuchukua dola .
Kuna dalili 2025 kuna wana CCM kindaki ndaki wataihujumu CCM
Kuna dalili 2025 vyombo vya dola vikawa upande wa wananchi
Kuna dalili Asilimia kubwa ya wapiga kura wakawa vijana
Lakini sio siri CHADEMA ndiyo chama kikuu cha Upinzani na kuna kila dalili Mwenyekiti anatembea na maelekezo kutoka upande mwingine juu ya Uchaguzi wa 2025 .
Je kina lissu na wengine wataweza ?
🤣🤣🤣 Dharau hiziMnachoweza kuchukua nyie ni mademu na rushwa tuu
Mchukue nini ambacho mliweka na huyo demu wa Amsterdam? 😆😆🤣🤣🤣 Dharau hizi
Time is the ultimate truth teller , tuendelee kusubiriMchukue nini ambacho mliweka na huyo demu wa Amsterdam? 😆😆