Pre GE2025 Kuna kila dalili uchaguzi mkuu 2025 Upinzani ukikazana unachukua, je Mwenyekiti Mbowe ataruhusu hili?

Pre GE2025 Kuna kila dalili uchaguzi mkuu 2025 Upinzani ukikazana unachukua, je Mwenyekiti Mbowe ataruhusu hili?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
2025 , kuna dalili nyingi sana ambazo zinaonesha kuna uwezekano wa Upinzani kuchukua dola .

Kuna dalili 2025 kuna wana CCM kindaki ndaki wataihujumu CCM

Kuna dalili 2025 vyombo vya dola vikawa upande wa wananchi

Kuna dalili Asilimia kubwa ya wapiga kura wakawa vijana

Lakini sio siri CHADEMA ndiyo chama kikuu cha Upinzani na kuna kila dalili Mwenyekiti anatembea na maelekezo kutoka upande mwingine juu ya Uchaguzi wa 2025 .

Je kina lissu na wengine wataweza ?
Mnachoweza kuchukua nyie ni mademu na rushwa tuu
 
Back
Top Bottom