Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Hivi kama kuna Viongozi Waandamizi wamepewa Rushwa na wamekubali, unategemea watakomaa kweli? Zaidi watafanya tu maigizo na kujitengenezea mazingira ya kupiga Pesa lakini si kuchukua Dola, ndiyo maana kuna Viongozi wa Upinzani hawataki kuachia uongozi ili waendelee kula.Mimi nilidhani ndio ungejua kuwa upinzani uko vizuri.....kiasi cha kugawiwa fedha ili waachie ngazi maana yake wanayo hadhi.
Na ukiona issue imevuja basi huo ndio ukomavu wa chama.
Kwanini wanahangaika kuwahonga? What is wrong? Je mbeleko ya ccm inafika mwisho?
Anatembea na majina mfukoni ya watu aliwapa helaAbduli atawadai chenji yake
Endeleeni kuota tu,
Ccm ni mpaka ichoke yenyewe inchi hii
Hakuna wa kuitoa ccm, si upinzani wala ccm yenyewe
Mara Paap January Makamba huyu hapa, kule Madelu kampeni manager.
Kwa mwamba kila kitu kinawezekana.
Shida ya El mipango ya mjini alikuwa haiwezi na alizungukwa na watoto watoto, wale jamaa naamini wakiamua kuudondosha mbuyu wanaweza, wanastyle yao yakuneutralize mambo for future purpose.
Kila nikikumbuka kauli ya ccm si mama wala baba yangu na kilichotokea baadae na baadae tena, basi hata mwenyekiti mwenyewe sasa hivi aende agombee upinzani atashindwa na katibu kata wa ccm
Hatari sanaKila nikikumbuka kauli ya ccm si mama wala baba yangu na kilichotokea baadae na baadae tena, basi hata mwenyekiti mwenyewe sasa hivi aende agombee upinzani atashindwa na katibu kata wa ccm
Ccm ni habari nyingine kabisa, jamaa wameiva na kuiva, ona hapo kwenye picha halafu subirini kinachofuata sasa
Ndio mtajua hamjui
Washajulikana hao:- ni Wenje na MsigwaKinachoonekana ni kuwa kuna Viongozi Mamluki ndani ya Upinzani ambao wamechukua "Mpunga" na kuendelea kubaki kama Wapinzani huku wakiwa ni wavurugaji..
2025 ni moto mkali CCM wapo kwenye hali mbaya wasipofanya kama 2020.2025 , kuna dalili nyingi sana ambazo zinaonesha kuna uwezekano wa Upinzani kuchukua dola .
Kuna dalili 2025 kuna wana CCM kindaki ndaki wataihujumu CCM
Kuna dalili 2025 vyombo vya dola vikawa upande wa wananchi
Kuna dalili Asilimia kubwa ya wapiga kura wakawa vijana
Lakini sio siri CHADEMA ndiyo chama kikuu cha Upinzani na kuna kila dalili Mwenyekiti anatembea na maelekezo kutoka upande mwingine juu ya Uchaguzi wa 2025 .
Je kina lissu na wengine wataweza ?
Ukweli ni kwamba hata ccm isiibe kura upinzani hauwezi kuchukua nchi uchaguzi huo labda ile 2015 not now. Labda kuambulia idadi kubwa ya wabunge.2025 , kuna dalili nyingi sana ambazo zinaonesha kuna uwezekano wa Upinzani kuchukua dola .
Kuna dalili 2025 kuna wana CCM kindaki ndaki wataihujumu CCM
Kuna dalili 2025 vyombo vya dola vikawa upande wa wananchi
Kuna dalili Asilimia kubwa ya wapiga kura wakawa vijana
Lakini sio siri CHADEMA ndiyo chama kikuu cha Upinzani na kuna kila dalili Mwenyekiti anatembea na maelekezo kutoka upande mwingine juu ya Uchaguzi wa 2025 .
Je kina lissu na wengine wataweza ?
Kila siku tunasema chadema ni upumbavu kama ccm ...Mbowe anatumiwa na Genge la Raia feki wanao miliki serikali na ccm kwa sasa ambao kiongozi wao mkuu ni bwana ROSTAM AZIZI NA KISERIKALI NI SAMIA wakati Tundu lissu ana tumiwa na mafisadi mabeberu wa kimataifa ...nitakuja siku nieleze kuhusu huu mfumo....wakati huo huo Msoga Gang ni vitoto vidogo vinavyo rubuniwa tu na Genge la Bwana ROSTAM AZIZI ...ila kwa sasa wameanza kushitukiana baina ya MSOGA GANG NA GENGE LA BWANA ROSTAM AZIZI LENYE ANJENDA YA RAIA FEKI KUSHIKA HATAMU...kuna kakashikashi kidogo baina yao ila kama nilivyo sema MSOGA GANG NI VITOTO VIDOGO NDIYO SABABU TATIZO BAINA YAO LIMEKUA VIGUMU KUONEKANA WAZIWAZI.Tangu Tundu Lissu aseme kuwa kuna Kiongozi Mwandamizi wa CHADEMA alienda na Abdul sebuleni kwake ili apewe Rushwa, na kuoneshwa orodha ya Viongozi wengine waliochukua "Mpunga" sina imani na Upinzani kama wanaweza kuchukua Dola.
Kinachoonekana ni kuwa kuna Viongozi Mamluki ndani ya Upinzani ambao wamechukua "Mpunga" na kuendelea kubaki kama Wapinzani huku wakiwa ni wavurugaji..
Hili sio tatizo tena lilisha tangu mwaka 2010Ila vijana jiandikisheni ili mpige kura
Mkuu Dawa zako jana ulimeza?Kila siku tunasema chadema ni upumbavu kama ccm ...Mbowe anatumiwa na Genge la Raia feki wanao miliki serikali na ccm kwa sasa ambao kiongozi wao mkuu ni bwana ROSTAM AZIZI NA KISERIKALI NI SAMIA wakati Tundu lissu ana tumiwa na mafisadi mabeberu wa kimataifa ...nitakuja siku nieleze kuhusu huu mfumo....wakati huo huo Msoga Gang ni vitoto vidogo vinavyo rubuniwa tu na Genge la Bwana ROSTAM AZIZI ...ila kwa sasa wameanza kushitukiana baina ya MSOGA GANG NA GENGE LA BWANA ROSTAM AZIZI LENYE ANJENDA YA RAIA FEKI KUSHIKA HATAMU...kuna kakashikashi kidogo baina yao ila kama nilivyo sema MSOGA GANG NI VITOTO VIDOGO NDIYO SABABU TATIZO BAINA YAO LIMEKUA VIGUMU KUONEKANA WAZIWAZI.
Vijana bado hawajitokezi kujiandikishaHili sio tatizo tena lilisha tangu mwaka 2010
Wewe hujui kituWashajulikana hao:- ni Wenje na Msigwa
HakikaHapa issue ni vyama vyote vya upinzani vimpe baraka Tundu lissu agombee 2025 njia nyeupe kabisa.
Nothing is impossible under the sunFuture impossible tense that is
Haaa docta ✋ usione kimya ...Sikuizi situmii dawa ya kuongeza nguvu za kiume ..mama yako nambinua 90¹degree bila shida yoyoteMkuu Dawa zako jana ulimeza?