Kuna kila dalili wachambuzi Wasafi FM wamemchoka Maulid Kitenge

Naona umeanza kupata akili kidogo kufananisha simba na timu za ulaya nq sio walioweka mwiko nyuma
 
Unajua maana ya kubalance story, mwandishi kabla ya kutoa habari lazima awasiliane na pande husika kisha atoe habari sasa huyo kitenge wenu hana tofauti na wambeya keahasikia habari kakimbilia kuitoa bila kumhoji Morison wala Gomes ambao ndio wahusika
 
Mwambie kitenge akashitaki kama anahisi kaonewa
 
Sasa pale utopolo mdhamini wale herufi 3 tu pekee ? Shida ya wana utopolo yaan wao waliamini gerufi 3 watakuwa wawekezaji kama ilivyo kwa MO.

Na mmoja kati ya wajumbe leo alihojiwa na Efm alisema ktk usajili BM 3 kamati ilikuwa ktk kikao chao gafla ktk mitandao ya kijamii wanaona habari itopolo wame sajili mchezaji mghana yaan mwenyekiti alikuwaa hajui kama kuna mchezaji analetwa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwambie kitenge akashitaki kama anahisi kaonewa
Maneno yako au kauli zako ni za kibabe..jiepushe na kauli za Aina hii ndani ya jamii...wengi huja kujuta baadaye kwa kauli Kama hizi...kunyamaza kimya ni jambo jema na Wala hakuna gharama yoyote...
 
Maneno yako au kauli zako ni za kibabe..jiepushe na kauli za Aina hii ndani ya jamii...wengi huja kujuta baadaye kwa kauli Kama hizi...kunyamaza kimya ni jambo jema na Wala hakuna gharama yoyote...
Yeye anavyoropoka hajui kuwa kuna sheria, mwambie akashitaki akimwaga mboga watu wanamwaga ugali
 
wale ambao huwa wanadanganywa na mwakalebela, wale ambao huenda airport kuwabeba wachezaji n viongozi kama wafalme, wale ambao waliambiwa Morrison kesi yake ipo CAS na hatocheza tena ni wapenzi wa Team gani? wale ambao juzi juzi tu haoa LUC EYYMAEL alisema ni Kama MANYANI NA MBWA NI MASHABIKI WA TEAM GANI? WALE WANOLILA LIA KWENYE MITANDAO NI MASHABIKI WA TEAM GANI? WANAOSEMA SIMBA IKISHINDA WATATAMBEA UCHI AU WAINGILIWE KINYUME NA MAUMBILE NI MASHABIKI WA TEAM GANI? Mashabiki wengi wa YANGA NI MASHOGA. ndo maana wanaaamua kutumia mwiko kwa matendo yao hayo ya kifedhuli na wanasema kabisa NYUMA MWIKO. sisi tutauchomoa huo mwiko tuine kunavyovuja.
 
Acha upumbavu, GSM ndio anatoa pesa ana haki ya kufanya hayo,Jichange wewe na Shafii mkaidhamini Yanga km mnaweza
 
Sioni sababu ya Kitenge na Manara kutupiana maneno yasiyo na staha mitandaoni. Wote wamekosa busara. Kiukweli CEO na kocha wa Simba hawawezi kuja hadharani kukiri kuwa kuna ugomvi kati ya kocha na Morison hata kama ugomvi huo upo. Kitenge kama mwandishi nguli wa habari za michezo nilitegemea afanye uchunguzi wa kiuandishi (investigative journalism) halafu aje hadharani na vielelezo vya kuthibitisha madai yake. Lakini kukomaa tu kuwa kuna ugomvi kati ya Gomes na Morison wakati CEO na Gomess wameshakanusha na mhusika mkuu Morison hajasema chochote hii inamfanya Kitenge kujishushia hadhi kama mwandishi nguli wa habari za mchezo na watu kumuona hamnazo. Kwa hali kama hii hana tofauti na mashabiki maandazi tu walioujua mpira hivi karibuni.

Lakini napata shida sana kumwelewa Manara pale anapoamua kurushiana maneno yasiyo na staha mitandaoni na Kitenge. Nashindwa kuwatofautisha kati yao nani anajielewa na nani hajielewi. Anachofanya Manara ni sawa na mtu anayeoga mtoni halafu akatokea chizi akabeba nguo zake na kuanza kukimbilia sokoni halafu mwenye nguo anaanza kumkimbiza badala ya kusubiri mtoni ili wakipita watu awaombe nguo ya kumsitiri. Kitendo cha kumkimbiza chizi sokoni wewe ukiwa uchi wastaarabu hawataelewa sanasana wataona machizi mawili yanakimbizana. Kwa hiyo Manara aachane na huyo Kitenge kwani watanzania wengi hata baadhi ya mashabiki wa Yanga wameshamjua huyo Kitenge ana matatizo yake binafsi.
 
Zeru zeru anapata tabu mnoo kumbe alitafunwa na mzee tozi
 
Ndio ujue kudukua same time sio fresh utatoka show
 
Ila morison ndani ya mwezi utasikia timwili kaliwasha ....yanga aliwavuruga wakavurugika.... Sasa issue ipo kwa main spiker na chitenge.....ngoja tuone final
 
Na nakuhakikishia hamuendi robo fainal narudia tena hamuendi robo final
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Shida sana. Tuendelee kutafuta Kocha mzuri.
 
Sema ujinga wako wewe,Kitenge kazungumzia tetesi za wachezaji.....na wala si yeye pekee aliyepost hiyo tetesi......sasa mambo ya tetesi za mikia yanahusiana nini na Yanga ? Acha kutumia kile kiungo alichokisema Dr Masaburi kufikiria
Nyie ndo huwa mnasema tufukuze kocha wakati wachezaji asilimia kubwa ni Maboga. Nakushauri uende shule
 
Nyie ndo huwa mnasema tufukuze kocha wakati wachezaji asilimia kubwa ni Maboga. Nakushauri uende shule
Siwezi kubishana na mtu anajiita Chizi,kama unaelimu yoyote ada imepotea bure tu,kama Kaze ni kocha kweli kwenye situation ya 1-1 na zimeongezwa dk 2 na unataka matokeo huwezi mwinua mchezaji sub aingie.......yaani 91+ unamwingiza mchezaji kwenda kufanya nini ? Kwahiyo kupiga mbele tu ndiyo unaona mpira? Mechi zote, Coastal na Police tumecheza kama underground sijui wa wapi.......yes tuna average players kwa baadhi ya position ila siyo kwa mpira ule wa piga mbele wala huoni goli linatengenezwa kupitia wapi........
 
Mkuu,

Wengi wanamfuatilia myunanaitwa fabrizio romano.. romano ni mtu wa tetesi muda wote..unakumbuka sakatabla david alaba la kuongeza mkataba yali alilishikilia kama anaugomvi na bayern..kila dakika alaba alaba alaba...bila kusahau sakata la mkataba la eric garcia wa man city .. lakini sijasikia akiambiwa na watubwa bayern kwamba anawasema bayern vibaya au watu wa man city..

Maulidi kitenge yuko sahihi kabisaaa..kwenye hili haji kakurupuka..kwani simba ni nani mpaka kusiwe na tetesi?? kazi ya haji ndo sio kumtisha mwandishi asiandike tetesi yeye anatakiwa aje either akubali kuwa tetesi ni zakweli or akatae then maisha yaendeleee

Tetesi zipo na zitaendelea kuwepo
 
Fabrizio Romano huwa anasema, wachezaji wamegombana na kocha?
Mara kagere ampiga kichwa kocha Sven?
Hivi hizi ni tetesi au lengo kuu ni kuwatoa watu mchezoni? Hasa katika ardhi yetu ya Tanzania ambapo kila kitu ni mtandaoni.
 
Simba kitenge anawanyoosha kweli kweli, na bado

Usisahau kumkumbusha Dada Kitenge kujibu ile Post ya Manara hasa zile hoja mbili za Kudondosha Herizi na kutimuliwa Radio one na ile ya kuwa na Bwana Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…