mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Kibongo bongo hakuna~ga kujadili mambo kwa facts.Namsikiliza mtu hapa anasema RPC kasema binti alikuwa anajiuza.
Yani watu hawawezi kufuatilia habari kabisa.
Halafu wanajadili mambo kwa emotions badala ya facts.
Hata mijadala iliyo mingi hujadiliwa watu na sio issues.....kibongo bongo. Udaku unapewa nafasi kubwa sana kuliko uhalisia