Kibongo bongo hakuna~ga kujadili mambo kwa facts.Namsikiliza mtu hapa anasema RPC kasema binti alikuwa anajiuza.
Yani watu hawawezi kufuatilia habari kabisa.
Halafu wanajadili mambo kwa emotions badala ya facts.
Halafu mijadala yote ni kama Simba na Yanga, lazima uwe team polisi au team wananchi.Kibongo bongo hakuna~ga kujadili mambo kwa facts.
Hata mijadala iliyo mingi hujadiliwa watu na sio issues.....kibongo bongo. Udaku unapewa nafasi kubwa sana kuliko uhalisia
Sahihi 💯%. Wabongo uwezo wetu katika kufikiri na kuchakata mambo kwa uweledi bado tupo nyuma mno.Halafu mijadala yote ni kama Simba na Yanga, lazima uwe team polisi au team wananchi.
Ukimsema muandishi wa habari kwa kuwa kaharibu kuandika, kaandika uongo baada ya kumuhoji RPC (polisi), hapo lazima uwachanganye sana wananchi.
Wao kiu yao ni kuwananga polisi tu.
Ukisema polisi wana matatizo mengi, lakini hapa muandishi wa habari pia kakosea, unawaharibia kabisa watu story yao ya kwamba polisi wote ni mashetani muda wote na muandishi wa habari akiwasema vibaya polisi hawezi kuwa kakosea.
Yani watu wengi hawawezi kukubali kwamba inawezekana polisi wakawa wamekosea na muandishi wa habari naye akawa kakosea, tunatakiwa tujirekebishe kote, kw apolisi na kwa muandishi wa habari.
ccm wapo bize kuanda counter reactions. Utasikia kuna tamasha la buree mahali likisheheni wasanii. Au utasikia goli la mama! Au utasikia kuna tenguzi/teuzi au mapokezi!Swali ni je, kuna kiongozi hata mmoja wa CCM aliejitokeza hadharani na kulaani hiyo kauli?
Maadui wa mwanamkeKiongozi siyo kazi yake kulaani. Kazi yake kuongoza.
Hujawahi kusikia kauli ya Mkapa?
Kuna watu karma yao ikisha fika ni hawalindiki hata ufanyeje hutofanikiwa,Karma lazima ipige pigo lake takatifu,na wwe mtetezi uchwara ukijichanganya tu inakula kwako pia!!Swali lako lina mantiki lakini kwa tabia za Polisi wetu na danadana zinazoendelea wala watu hawahitaji evidence zaidi.
Inasemekana afande anayelindwa ni huyu.
View attachment 3074191