Kuna kipi cha kufanana kati ya Angelina Jolie na Irene Paul?

Mpuuzi anaendelea kufanya upuuzi.
 
Irene naye ni Mpuuzi sana kwanini ang'ang'anie kwamba yeye kafanana na Angelina Jolie kwanini isiwe A.Jolie ndio kafanana na Irene?
Haiwezi kuwa Jolie ndie afanane na Irene kwa sababu Jolie ni mkubwa sana kwa Irene na kwa hiyo, aliyekuja baadae duniani ndie kagelezea kwa mwenzake!!!

So, kama kweli wanafanana, basi ni Irene ndie kafanana na Jolie kwa sababu alimkuta duniani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…