katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Mkuu umebadilisha Pusha au ndo yuleyule? Nini hikiYaani huyu mtu sio wa humu nimefundishwa humu niache umalaya wa mdomo nije kusocialize.
So kuna jamaa yangu mmoja anamzungu huyu jamaa alitoka tz akaenda kusoma sasa kwa miaka mingi akarudi na mkewe nawatoto .
Kama kawaida wakamkanyaga akafilisika kiasi fulani so hivi ninavyoongea asingekuwa amejenga
Angekuwa hana ramani ifikie kuapprociate na kuacha uchawi.
Wenzetu wanasoma , wanaweka jitihada kwenye maendeleo.
Ila wa tz kwa kuchafua mtu hamjamboo.
Hii nikweli kabisa...
Hivi hizi tabia zakuharibu watu kama huyu watu waataacha lini ???mzee wawatu ni kutukana na kunywa ovyo na hana tena future ya kilichonleta ni pombe tu.
INAKATISHA TAMAA KABISA
Umetumia nini hadi ushindwe kujua mleta mada yupo katika kipindi gani kiakili [emoji848]Kwa Aliyemwelewa huyu Manzi Anyooshe Mkono...!
mzee tunatoboa, ila huyu mleta mada awekwe mbali na vitu kama kamba,shuka na vitu vyenye ncha kali anaweza kujidhuru kama siyo kujitoa uhai kabisaVp mkalimani wa taifa, kesho blues tunatoboa kweli? Ooh sorry eti kesho, ni baadae maana it's a new day
Muda wenyewe alioandika hiyo post nina mashaka kama alikuwa vizuri...Kwa Aliyemwelewa huyu Manzi Anyooshe Mkono...!
Umetufafanulia vzur sana, bongo nyoso sana wengi tumelogwa sema hatujui kama tumejambiwa na wachawi ndio mana mambo yetu hayaendi kabisa mungu atusaidie kwakweliNilivyoelewa. Kuna mtu akienda mambele,akaoa,akarudi bongo,akarogwa akayumba kiuchumi. Kilichomsaidia ni kuwa alijenga Nyumba ila kea sasa maisha yamempiga ni mwendo kupiga pombe