Kuna kipindi unaomba ardhi ipasuke

Kuna kipindi unaomba ardhi ipasuke

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,124
Reaction score
5,745
Yaani huyu mtu sio wa humu nimefundishwa humu niache umalaya wa mdomo nije kusocialize. So kuna jamaa yangu mmoja anamzungu huyu jamaa alitoka tz akaenda kusoma sasa kwa miaka mingi akarudi na mkewe nawatoto.

Kama kawaida wakamkanyaga akafilisika kiasi fulani so hivi ninavyoongea asingekuwa amejenga. Angekuwa hana ramani ifikie kuapprociate na kuacha uchawi.

Wenzetu wanasoma , wanaweka jitihada kwenye maendeleo. Ila wa tz kwa kuchafua mtu hamjamboo.

Hii nikweli kabisa... Hivi hizi tabia zakuharibu watu kama huyu watu waataacha lini ???mzee wawatu ni kutukana na kunywa ovyo na hana tena future ya kilichonleta ni pombe tu.

INAKATISHA TAMAA KABISA
 
Kabla ya kupost EMB tujaribu kuhariri tulichoandika(kurudia kusoma na kusahihisha)

Tukirudi kwenye mada ni Imani yako kwa Mungu tu ndo itakayokuokoa na huu upuuzi wa dunia......so ukisoma au kupata kacheo kidogo usisahau nafasi ya Mungu maishani mwako
 
Yaani huyu mtu sio wa humu nimefundishwa humu niache umalaya wa mdomo nije kusocialize.
So kuna jamaa yangu mmoja anamzungu huyu jamaa alitoka tz akaenda kusoma sasa kwa miaka mingi akarudi na mkewe nawatoto .

Kama kawaida wakamkanyaga akafilisika kiasi fulani so hivi ninavyoongea asingekuwa amejenga
Angekuwa hana ramani ifikie kuapprociate na kuacha uchawi.

Wenzetu wanasoma , wanaweka jitihada kwenye maendeleo.
Ila wa tz kwa kuchafua mtu hamjamboo.

Hii nikweli kabisa...
Hivi hizi tabia zakuharibu watu kama huyu watu waataacha lini ???mzee wawatu ni kutukana na kunywa ovyo na hana tena future ya kilichonleta ni pombe tu.
INAKATISHA TAMAA KABISA
Mkuu umebadilisha Pusha au ndo yuleyule? Nini hiki
 
Jina lako haliendani na uwezo wako wa uandishi!, nafikiri kiswahili sio lugha yako mahili!
 
Nilivyoelewa. Kuna mtu akienda mambele,akaoa,akarudi bongo,akarogwa akayumba kiuchumi. Kilichomsaidia ni kuwa alijenga Nyumba ila kea sasa maisha yamempiga ni mwendo kupiga pombe
 
Nilivyoelewa. Kuna mtu akienda mambele,akaoa,akarudi bongo,akarogwa akayumba kiuchumi. Kilichomsaidia ni kuwa alijenga Nyumba ila kea sasa maisha yamempiga ni mwendo kupiga pombe
Umetufafanulia vzur sana, bongo nyoso sana wengi tumelogwa sema hatujui kama tumejambiwa na wachawi ndio mana mambo yetu hayaendi kabisa mungu atusaidie kwakweli
 
Back
Top Bottom