Kuna kisa cha ajabu sana; Baada ya kunikopesha na kurudisha kwa wakati niripo rudi tena kukopa kagoma kabisa na kunipa sababu.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna jamaa yangu kanisumilia kisa ambacho nimeanza kufikiria hizi tabia za watu wa mikopo. Jamaa alipata changamoto kwenye biashara zake.

Muda wa kupata pesa kuziba changamoto ulikuwa mdogo sana ikabidi kwenda kwa hawa wenye kukopesha haraka ukiweka mali.

Jamaa akaweka nyumba bond na kupewa pesa.

Umakini wake kutatua bishara yake ukamalizika.

pesa ikarudishwa fasta ila aliporudi tena baada ya muda kupita jamaa karudi kuomba mkopo. Mtoa mkopo kagoma kasema we sikuwezi.
 
Hiyo pesa ameshaipeleka kwenye mambo mengine au Kuna namna amehisi pesa yake haitarudi..Tafuta sehemu nyingine na kama unaweza mpaka kuweka nyumba bond
 
Kuna jamaa yangu kani sumilia kisa ambacho nimeanza kufikiria hizi tabia za watu wa mikopo . Jamaa alipata changamoto kwenye biashara zake.
Mda wa kupata pesa kuziba changamoto ulikuwa mdogo sana.Ikabidi kwenda kwa hawa wenye kukopesha haraka ukiweka mali.

Jamaa hakaweka nyumba bond na kupewa pesa.

Umakini wake kutatua bishara yake ukamalizika.

pesa ikarudishwa fasta ila aliporudi tena baada ya mda kupita jamaa karudi kuomba mkopo.Mtoa mkopo kagoma kasema we sikuwezi.
Wewe unapenda kuanzisha sredi kila wakati ila aidha shule mgogoro au umakini umepungua. Hiyo ina maana gani?
 
Wakopeshaji wengi huwa wana 'namna' wanakupa pesa ndogo tu unashindwa kuirudisha kisha wanajitwalia dhamana yako, inawezekana mwamba mkopaji yupo vizuri ipande wa maombi/imani au 'miziziology' ndio maana bwana pesa kagoma kumkopesha tena.
 
Binafsi nilikopa kwa mkopeshaji fulani kiasi cha 1 milion kabla sijaenda kuichukua nikapigia kwa mzee flani mwenye busara nyingi akanambia ukishazichukua usifanyie chochote kabla hujazifanyia treatment.

Kweli nilizichukua nikamaliza shida nikazirejesha after 8 days pamoja na riba yake, yule jamaa akaniuliza mbona umerejesha haraka sana nikamjibu kisha akanambia nisikuone tena hapa.
Sasa kwenye mambo haya wakopeshaji wana siri nyingi ndo maana wakopaji wengi wamegeuzwa watumwa au misukule ya wakopeshaji. Yaani jamaa anakupa 200K lakini malengo yake utarudisha 1000K n.k.

Na watu wengi ukiwagusia habari hizi wanakuona mshirikina au mchawi dawa yake kaa kimyaaaa
 
Safi sana, watoa mikopo wengi wanapigia hesabu ushindwe wakuburuze, ukiweza hua wanachukia kukukopesha tena..

Cc: Mahondaw
Hilo ni la kwanza.

La pili ni hili:
Ulipaji wa deni ama mkopo kwa wakati.

Mbinu hii hutumiwa na matapeli kucheza na saikolojia za 'wahanga'!

Anakuja kukukopa akiwa hana shida na hela hiyo.

Utapomkopesha anaenda kuisunda kwenye droo halafu anasubiri siku ya marejesho ifike.

Muda ukifika anairejesha kwa wakati kujijengea uaminifu kwako kwa kutumia pesa yako mwenyewe.

Atacheza hivyo hata mara nne ama zaidi ili kukuweka sawa na kila muda atakuja na kiwango kidogo ama kikubwa ili kukchanganya!

Siku yake ya kutimiza lengo lake, utashindwa kuamini kama ni yeye kweli aliyekutenda.
 
Binafsi nilikopa kwa mkopeshaji fulani kiasi cha 1 milion kabla sijaenda kuichukua nikapigia kwa mzee flani mwenye busara nyingi akanambia ukishazichukua usifanyie chochote kabla hujazifanyia treatment.

Kweli nilizichukua nikamaliza shida nikazirejesha after 8 days pamoja na riba yake, yule jamaa akaniuliza mbona umerejesha haraka sana nikamjibu kisha akanambia nisikuone tena hapa.
Sasa kwenye mambo haya wakopeshaji wana siri nyingi ndo maana wakopaji wengi wamegeuzwa watumwa au misukule ya wakopeshaji. Yaani jamaa anakupa 200K lakini malengo yake utarudisha 1000K n.k.

Na watu wengi ukiwagusia habari hizi wanakuona mshirikina au mchawi dawa yake kaa kimyaaaa
Mkuu.kabla ya kuzitumia unatakiwa kufanya nini?
 
Kuna jamaa yangu kanisumilia kisa ambacho nimeanza kufikiria hizi tabia za watu wa mikopo. Jamaa alipata changamoto kwenye biashara zake.

Muda wa kupata pesa kuziba changamoto ulikuwa mdogo sana ikabidi kwenda kwa hawa wenye kukopesha haraka ukiweka mali.

Jamaa akaweka nyumba bond na kupewa pesa.

Umakini wake kutatua bishara yake ukamalizika.

pesa ikarudishwa fasta ila aliporudi tena baada ya muda kupita jamaa karudi kuomba mkopo. Mtoa mkopo kagoma kasema we sikuwezi.
Huyo Jamaa yako ana tabia za kitapeli sema Mkopeshaji kashtukia dili.

Watu matapeli Mwanzo wanajenga mazingira ya uaminifu, ili mara ya pili wakupigie kisawasawa.

Na dalili zimeonekana kweli, kama ukikopa Mwanzo kwa sababu ya shida, na shida hiyo ukimaliza umekuwaje tena ndani ya muda mfupi urudi tena? Hapo ndio jamaa kashtuka
 
Binafsi nilikopa kwa mkopeshaji fulani kiasi cha 1 milion kabla sijaenda kuichukua nikapigia kwa mzee flani mwenye busara nyingi akanambia ukishazichukua usifanyie chochote kabla hujazifanyia treatment.

Kweli nilizichukua nikamaliza shida nikazirejesha after 8 days pamoja na riba yake, yule jamaa akaniuliza mbona umerejesha haraka sana nikamjibu kisha akanambia nisikuone tena hapa.
Sasa kwenye mambo haya wakopeshaji wana siri nyingi ndo maana wakopaji wengi wamegeuzwa watumwa au misukule ya wakopeshaji. Yaani jamaa anakupa 200K lakini malengo yake utarudisha 1000K n.k.

Na watu wengi ukiwagusia habari hizi wanakuona mshirikina au mchawi dawa yake kaa kimyaaaa
Hakuna ushirikina dunia hii ni uongo na utapeli tu
 
Hilo ni la kwanza.

La pili ni hili:
Ulipaji wa deni ama mkopo kwa wakati.

Mbinu hii hutumiwa na matapeli kucheza na saikolojia za 'wahanga'!

Anakuja kukukopa akiwa hana shida na hela hiyo.

Utapomkopesha anaenda kuisunda kwenye droo halafu anasubiri siku ya marejesho ifike.

Muda ukifika anairejesha kwa wakati kujijengea uaminifu kwako kwa kutumia pesa yako mwenyewe.

Atacheza hivyo hata mara nne ama zaidi ili kukuweka sawa na kila muda atakuja na kiwango kidogo ama kukubwa ili kukchanganya!

Siku yake ya kutimiza lengo lake, utashindwa kuamini kama ni yeye kweli aliyekutenda.
Sahihi kabisa
 
Inawezekana wewe ndiye haujelewa mada na haujaelewa comment yangu pia Mkuu
Mada inasema 'mkopaji' alilipa kwa 'kasi' mkopo wa kwanza.

Lakini alipoenda tena kukopa akanyimwa.

Somo hapo siyo kutakiwa kulipa deni bali mhusika alilipa kwa wakati, bila usumbufu na uaminifu huo ukamletea doa kutokuaminika kukopesheka tena.
Nadhani imekaa hivyo.
 
Ukisoma haya maelezo hauoni kama hayana mantiki Mkuu?

Kuna upande wa hii stori haujawekwa, na ndiyo maana nili-comment vile, yani ulipe deni kwa wakati halafu mtu akatae kukukopesha tena, make it make sense?
 
Ndiyo why not, hilo linawezekana mbona?

Emb pitia comment yangu #11 namna inavyokuwa.
 
Back
Top Bottom