kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Watu hawalipi madeni babu.... stuka
Mbona kama braza K umesoma kilichoandikwa au umeishia kwenye heading 😹Ukikopa unatakiwa ujue ni lini na kwa njia gani utaweza kurejesha pesa ya mtu pasipo kumcheleweshea, kila mtu ana mkakati na pesa zake.
Huyo mkopeshaji ni hatari alitaka kuchukua nyumba ya mtu.pesa ikarudishwa fasta ila aliporudi tena baada ya muda kupita jamaa karudi kuomba mkopo. Mtoa mkopo kagoma kasema we sikuwezi.
Siwezi kukulaumu maana kila mtu kazaliwa na kukulia mazingira yake yawezakuwa hujawahi kwaruzwa au umewahi ila bado hujajua maana hata vitabu vitakatifu vikiwamo biblia na qur'an vimethibitisha kuwepo kwa ushirikina sasa wewe unaebisha kwamba hayapo sawa endeleaHakuna ushirikina dunia hii ni uongo na utapeli tu
Aisee.Hela za wakopeshaji uchwara zina mazngzong mengi sana.
Wale majamaa wanazifanyia shirki. Ziko targeted mkopaji ushindwe kurejesha ili mkopeshaji apite na dhamana yako.
Watu wengi sana wamepoteza mali kupitia mikopo hiyo.
Alikuwepo mjinga mmoja ndo ilikuwa pigo zake. Alikuwa anawapa vijana pikipiki za mkataba lakini 90% walikuwa hawatoboi.
Na kipindi kile hii mikataba ilikuwa ya kikiritimba, bila dhamana ya nyumba au kiwanja hupati pkpk. Na akishakupa pkpk sikilizia mabalaa yatakavyo kuandama unakuja kushituka mwisho wa mkataba huu hapa!
Jamaa anaanza utemi na hatimae anachukua dhamana yako kiulaini tu yaani.
Unapoenda kuchukua hii mikopo hakikisha umejipanga kisawasawa