sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Huwaga naskia stori kwamba kwenye fumanizi ni heri upewe kichapo kizito sana kuliko uachwe uende kwa amani.
Kuna kisa ambacho kimetamba sana ila nadhani ni stori ya kijiweni tu nadhani wengi mtakua mmesikia, Hapa tumiwite mwenye mke anaitwa Michael, sasa kuna siku Michael alistukiza kurudi kininja nyumbani kwake akamkuta jamaa anakamua mzigo wa wife, Michael alipoingia chumba cha tukio alienda kabatini kuchukua begi la kazini, yeye akawaambia mnaweza kuendelea wala msihofu , jamaa hakuweza kuendelea aliondoka hapo, akawa ni mtu wa mawazo sana alafu ila Michael akimuona anampungia mkono kabisa, hata alipohama mji Michael alienda kumsalimia huko alikohamia, kiufupi jamaa ni kama alipatwa na uchizi flani hivi. wife alitoroka kurudi kwao ila huko kwao hataki kusema kilichotokea, Michael anaenda huko kwao kutaka kumrudisha binti analia machozi mpaka basi yani.
kuna kisa cha kweli ambacho mtu anacho akiweke hapa.