Kuna kitu CCM wanakilinda kwa jasho na damu ambacho hatukijui

Nakuelewa kabisa.
 
sasa hv kwanza wanatoa semina kwa wapiga kwa wajumbe wao wote, na kufanya tathimini ,nini kimepelekea hali hii, jamaa hawabaahatishi kabisa ktk kutafuta madaraka na ndio maana ukiwazungua wanakumaliza
 
Kweli kabisa. Ndio maana Ile Oct 30 CDF alibadilisha gia angani.
 
sasa hivi wanatoa darasa kwa wajumbe na kufanya tathimini kwenye kata zao,hawataki kurudia makosa
 
Kuna ukweli kwa upande Mmoja. Ila lazima ujue wanasiasa kupitia vyama vya siasa ndio Wana shape sera na jinsi nchi ienende. Nyerere alitushape kwenye sera ya ujamaa na mwinyi alitushape kwenye sera ya soko huria ambalo tunatumia mpaka Leo. Hivyo wanasiasa Wana mchango mkubwa wa kuendelea nchi au kuua nchi. Pale Singapore ni chama tawala na wanasiasa wake walishape nchi. Unaweza kuwa responsible ila sera ya nchi ikakudodimiza usifikie malengo.
 
Dawa ni kujiunga nao. Yaani wote tuwe ccm ili wabaki na machawa tu wa kuwatetea.

Kwanini nasema ili kuua mtandao inabidi tuungane nao, ni kwasababu wamefanikiwa kutugawa. Na ujinga ni kwamba watanzania wanashabikia siasa kama mpira wa miguu. Kitu kinachofanya hoja za msingi zionekane dhaifu. Sote tukiwa chama kimoja, tutaongeq lugha moja kiliko hivi walivyotugawa kwa itikadi ya vyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…