Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Hapana, msingi ni mtu kupata mix of taste kati ya K vant na any other taste.

Lakini sishauri unywaji K vant mixed na energy drink, insteady mnywaji atumie kinywaji kama Tonic water au soda water.

Over
Hahahah K Vant ni gongo iliochangamka 😁😁😁 huwa tunatumia tukifulia tu!
 
Hahahah hapo Al Haji jiwe alikuwa hajakamata nchi bado! 😁😁😁
Kwahio chupa moja yake moja ya mkewe...
 
Naona kama ni wewe ndo upo hivyo thats why limekuwa wazo lako la kwanza ukahimishia kwangu,

Unawezaje kusemea taste anayofeel mtu mwingine?
Yaani how?

Mie pombe ya kunywea ndani haina ladha hata robo.
We mitungi lazma ulie kwenye kelele eeh 😁😁😁
 
Kwahiyo walevi hua mnaomba ushauri wa kilevi kipya kabla hamjakivagaa? Kuna ulanzi mnataka?
Ulanzi tumia wewe blaza 😁 pombe lazma iwe na kipimo maalum...lasivyo utaonekana babu wa miaka 70 kabla ya wakati
 
Ni ulimbukeni tu wa hawa watanganyika!

Wengine hawajui hata kuitamka kwa usahihi, lakini nao wamo tu wameibebelea mikononi wanapiga nayo selfie kwa mbwembwe!

Akili zenyewe hamuna! Kichwa chote kimejaa mapicha ya matunda ya kimasihara!
 
Hahahah hapo Al Haji jiwe alikuwa hajakamata nchi bado! 😁😁😁
Kwahio chupa moja yake moja ya mkewe...
Hahahah ndio mangi jamaa alimchukulia na mkewe aiseee,sijui alikua anatupima imani au la maana tulikua tunaongea nae inshu ya mpunga.

Lkn mwishowe inshu tuliyoongea nae ilitiki fresh kabisaa,lkn aliacha vumbi pale mezani maana ilikua ndani ya dakika 45 tu kashafanya yake na kusepa.

Kuna mabinti waliona tukio lile wakajua pale wako njema ikabidi waombe kampani kumbe mamamae wangejua tulikua tunapambania kombe wasingejisogeza kabisaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…