Huwa nawashangaa watu wanapolalama kwenye institution ambayo kujiunga na kutoka ni hiyari na tena haulazimishwi kutoa chochote.Uzuri wake ni kuwa usipotoa si kosa la jinai.
Yesu na ukiristo ni vitu viwili tofautiHiyo sio sbb, sadaka za Jpili peke yake zinatosha sana, na kanisa ina miradi mikubwa mingi sana, iweje ikamue waumini kiasi hicho.
Kwnn kanisa liwe na matumizi makubwa hivyo, kisa ni nn? Yesu hakuwa na hayo yote, ukiona hivyo ni binadamu wanakula fedha hizo na kuzitumia sbb zinapatikana bure bure.
Mimi kanisani naenda wakati wa Pasaka na Christmas tu, siku nyinginezo nasali kwangu na familia yangu, makanisa yamekuwa tofauti kabisa, ni kukusanya fedha na michango isiyoisha, imekuwa biashara ya uhuni sana, narudia, Yesu Kristo hajawahi kuwa hivyo, full stop
Kumbe unataka bado kuwa sehemu ya taasisi na bado hutaki kufuata utaratibu uliopo?Nani kakudanganya! utatengwa, na hata katekista hawezi sogelea mzoga wako.
Ubarikiwe Sana Mtumishi,huyu Matola ni mnafiki sana,amejifanya Mkatoliki ili kuuchafua Ukatoliki, nashukuru kwa kumuumbua.Huyu ni wakala wa shetani.
Hao Mapandre inaonekana ni vijana(sina uhakika) au Wana lao jambo.Mkuu nyumba za mapadre zinazojengwa siku hizi haziingiliani na huduma nyingine za waamini.
Hiyo ninayosema ipo ndani ya uzio wa kanisa lakini ina uzio wake humo ndani kutenganisha na kanisa
Kwahiyo mimi ndio nilikuwa nalawiti vivulana ili kuuchafuwa ukatoliki?Ubarikiwe Sana Mtumishi,huyu Matola ni mnafiki sana,amejifanya Mkatoliki ili kuuchafua Ukatoliki, nashukuru kwa kumuumbua.Huyu ni wakala wa shetani.
Kwa kiasi kikubwa ruzuku kutoka Vatican imepungua au kuondolewa kabisa. Kanisa la miaka ya 40,50,60 lilieneza Injili Afrika, sasa ni wakati wa Afrika kuisimamia Injili ienee kwa watoto wetu.Huwa nawashangaa watu wanapolalama kwenye institution ambayo kujiunga na kutoka ni hiyari na tena haulazimishwi kutoa chochote.
Kama unaona makanisa yaliyopo hayafai, si kasajili la kwako Wizara ya mambo ya ndani uweke utaratibu unaouona unafaaa?
If the religious is dangerous,then let me be in that danger, because is a good danger.Be careful mkuu. Religious fanaticism is still so dangerous.
Wewe ni kichaa, mimi sijafungia akili zangu kwenye kabati la paroko, ni wapi nimesema sina dini?Anayelalamika ni huyo ambaye ameshakiri mwenyewe kuwa sio muumini mzuri. Kwanza alishasema hana dini, soma hapa:
Wafadhili siku hizi hawapo, kwa hiyo ni lazima kuwepo na mbwembwe zakupata fedhaUkishaingia mfumo wa jumuia lazima utowe pesa ya kuwa mkatoliki kila mwezi.
Pili harambee za kipuuzi na sadaka nyingi kwenye ibada inaondoa system ya kikatoliki ambayo tulizoea ibada ya misa ya jumapili ni lisaa limoja na nusu tu na ikizidi kwa special case ni masaa mawili tu, sasa kwa huu upumbavu ulioanza ibada inakwenda mpaka masaa matatu, misa ya kwanza mnaingia saa 12 asubuhi mnatoka saa mbili na kitu.
Hilo dogo sana wasipokuzika unawanukia tu hapo.. wakomeUkifa hawakuziki. Hapo ndipo wametushika pabaya
Kama unaufahamu vizuri ukatoliki ruzuku hazikuwa zinatoka Vaticano, bali ni mashirika ya kitawa ndio yalikuwa yanaboost, pale ambapo walipoona malengo yamekamilika walihamia sehemu nyingine.Kwa kiasi kikubwa ruzuku kutoka Vatican imepungua au kuondolewa kabisa. Kanisa la miaka ya 40,50,60 lilieneza Injili Afrika, sasa ni wakati wa Afrika kuisimamia Injili ienee kwa watoto wetu.
Hayo mambo ya ulawiti yametoka wapi tena??.Ninaendelea kupata wasiwasi juu ya upeo wako wa kufikiri.Kwahiyo mimi ndio nilikuwa nalawiti vivulana ili kuuchafuwa ukatoliki?
Hahaa Hawatoi mda wa kupumua kabisa..Kanisa likiisha, utasikia mchango wa kinanda, au wa wanakwaya kwenda ku-shoot video.
Tena ukisikiliza Radio Maria ndiyo utakata tamaa kabisa,wameacha kuhubili kutwa be na na usiku wote wanatakaza michango,yaani Imekuwa Radi ya kutoza ushuru.Dini imekuwa biashara.
Eti unaingia Ibadani kwa ID🏃♂️🏃♂️Hakuna mashtaka lakini unapata restrictions ktk huduma.
Haya mambo yakiachwa yaendelee tunazidi kuwapa umungu wasioustahili
Walianza na kutokuwapa huduma za ndoa, ubatizo nk wale wasiochangia, wakaja na kukataa kutoa ibada ya maziko, tukinyamaza kesho itakuwa unaingia ibadani kwa ID