Kuna kitu hakipo sawa makanisani, ni muda wa wakristo kuamka na kuhoji

Lengo lako upate support?
Mimi nimetoa shukrani mwaka huu laki 6.
Wala sijaona nilipopungua.
Unataka hadi mfalme wa Morocco aje aombwe kukujengea kanisa?
 
naamini katika MUNGU namuomba mahali popote ila kwenye mijumuiko sikumbuki kama nmewahi kwenda tokea nmekuwa mtu mzima na akili timamu
 
Mashirika mengi yameanzisha miradi ya kujiendesha. Kule Sakarani watawa wa Rosminian wanalima Macadamia nuts. Hata ma Bruda wa Francisco wanatengeneza rosary na kuuza.

Zamani sana matajiri wengi waliacha sehemu kubwa ya urithi kwa kanisa, hii ilisaidia kanisa kujenga majengo mengi katika miji mikubwa na mpaka leo kanisa linakusanya kodi.

Miaka ya 50,60 ujenzi wa kanisa lolote, Kadinali alipokea pesa moja kwa moja kutoka Vatican. Sikuhizi ujenzi wa makanisa mapya unategemea harambee. Miji inapanuka na watu wanaongezeka.
 
Serikali haiwezi kuingilia kati hao ni partners in crime.
 
kanisani toa jero ya silva inatosha!
[ 500/= X watu 300(makadirio) = 150,000/= inawatosha kabisa kugawana posho wale wahusika wanaoendesha ibada pale madhabauni ]

sadaka nyingi wapelekee wahitaji (yatima, wajane, wagonjwa, masikini na wafungwa)

vinginevyo mtapigwa tu hakuna namna, maisha yanazidi kuwa magumu kila siku ukijumlisha na hii vita ya ukraine hakuna rangi mtaacha kuona!
 
Kwani waislamu wanaendeshaje misikiti yao bila ya kuwa na sadaka kubwa zenye kuwakamua waumini?
 
Kwani kwa upeo wako kadinali ni kiongozi wa Tanzania nzima?

Mfumo wa kanisa katoliki kila Askofu ni mkuu katika jimbo lake na wote wanateuliwa na Papa.

Hakuna Askofu wa jimbo mkubwa kuliko mwenzanke na hakuna mkuu wa kanisa katoliki Tanzania nzima, elewa hili kwanza.

Kwa kifupi Dr Shoo ndio Askofu mkuu wa KKKT Tanzania lakini kanisa katoliki hakuna cheo hicho, hata Rais wa Tec ni kiongozi tu wa maaskofu wenzake na siyo mkuu wa kanisa.
 

Christian Revenue Authority
 

Umetumwa si bure ila nakukumbusha tu kuwa wewe endelea kusali huko huko ulikokengeushwa na kusikokuwa na kusomewa mapato na matumizi waache wakatoliki nao wapuyange kivyao.

Sadaka na toa toa hazitokupeleka peponi
 
Hamna mtu aliyefirisika kwa kutoa michango kanisani. Kama hauna usiwatake wengine nao wasitoe.
 
The problem of evil proves that the foundation of organized religion, specifically Abrahamic religions, the all knowing, all capable and all graceful God, does not exist.

This God is a manufactured reality, a figment of the collective human imagination throughout the years.

The Bible, The Quran and similar books, are fictional narratives made by humans, for humans, to navigate human problems.

Once you understand this, everything else makes sense.
 
Makanisa ya sasa yamejaa uporaji kwa kisingizio cha kumtolea Mungu,
  1. Lutheran waliwakosoa RC kuwa wanatumia vikaratasi vya utakaso, ati ili kupata msamaha wa dhambi ni lazima ujazishwe hicho kikaratasi, lakini nyani haoni kundule, Lutherani haohao hivi sasa wana vibahasha ambavyo unakaguliwa umeweka sadaka (kwa kisingizio cha ahadi) kiasi gani wakati mafundisho yanasema utoapo kwa mkono wako wa kuume, mkono wako wa kushoto usijue ikimaanisha sadaka ni siri, leo hii KKKT pamekuwa sehemu ya kujipambanua umetoa kiasi gani, ukitoa sana utathaminiwa sana na utazikwa kifahari tena na Askofu.
  2. Migogoro kila Dayosisi, ukiuliza sababu kubwa ni pesa, kama wanapinga basi watumishi wa KKKT ongozeni ibada kwa kujitolea kama Mashahidi wa Yehova tuone kama yupo atakayethubutu kufanya hivyo, imani ya kweli hivi sasa ni mtu binafsi kujilinda na dunia asitende dhambi, asaidie wenye shida inatosha.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…