jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Fanyeni kazi acheni kulalamika..miradi ya kanisa husaidia wasio jiweza na mayatima..yani wewe mzima wa mwili na akili unataka usaidiwe nini tena..maandiko ynasema asiyefanya kazi asilie acha utegemezi..chamsingi changia injili iwafikie watu wapate kuokolewa.kimsingi miradi ya kanisa haina faida ya moja kwa moja kwa muumini asilani. Utadikia eti wanajenga shule na wakati huwezi kumpeleka mwanao akasoma bure kwenye shule zao. Na hata hospitali zao kama huna hela hutibiwi na wakati sadaka na michango unatoa. Kwa ufupi, haya madhehebu yana fanya biashara tu. na ni wakati muafaka wa sisi waumini kuamka
Akili ndogo UziaWavaa kobazi ni bahili hatari..wanayegemezi kili kitu wafanyiwe na waarabu..hadi tende wanasubiri waletewe na waarabu.
Ukristo ni dini ya upendo na utoaji..kama huna hela kaa kimya sio kutaka kuharibu utaratibu na tamaduni za wakristo.
#MaendeleoHayanaChama
Wewe labda hujui historia ya dunia hii inaendeshwa na kina nani na ni watu gani, wengi ni mashoga lakini wamebarikiwa sana, ukija kwa hawa Illuminati ni watu wapo wamekamata sekta zote, au nitajie kwenye orodha ya forbes ya matajiri 10 ni yupi mfia dini?Hayo ni maoni yako na kundi lako, maoni yasiyo na uthibitisho wowote.
Usitumie uongo kuhalalisha maovu yako na unajua fika uongo ndio silaha kubwa ya Ibilisi.
Acha kudanganya watu, misaada ya kusaidia mayatima, wagonjwa na wasiojiweza inachangishwa kwenye jumuiya ndogondogo na matoleo, kanisa hata siku moja alitowi pesa kwenye account kusaidia mtu au kundi lolote lile, cha kanisa hakiliwi, wanakula wenyewe tu waliotupa verse mtumishi wa Mungu atakula madhabauni, pamoja na mawakala wao.Fanyeni kazi acheni kulalamika..miradi ya kanisa husaidia wasio jiweza na mayatima..yani wewe mzima wa mwili na akili unataka usaidiwe nini tena..maandiko ynasema asiyefanya kazi asilie acha utegemezi..chamsingi changia injili iwafikie watu wapate kuokolewa.
#MaendeleoHayanaChama
Hao matajiri uliowaiga hawapo hapa Tanzania.Wewe labda hujui historia ya dunia hii inaendeshwa na kina nani na ni watu gani, wengi ni mashoga lakini wamebarikiwa sana, ukija kwa hawa Illuminati ni watu wapo wamekamata sekta zote, au nitajie kwenye orodha ya forbes ya matajiri 10 ni yupi mfia dini?
Wewe umetumwa..mamluki..tushakujua..kama unaona mzigo kutoa sadaka..nenda huko kwa wasiotoa uwe na amani ya moyo..mkristo wa kweli wawezi lialia kama wewe..mana kutoa ni upendo na hakuna aliyeshikiwa bunduki ili atoe.Acha kudanganya watu, misaada ya kusaidia mayatima, wagonjwa na wasiojiweza inachangishwa kwenye jumuiya ndogondogo na matoleo, kanisa hata siku moja alitowi pesa kwenye account kusaidia mtu au kundi lolote lile, cha kanisa hakiliwi, wanakula wenyewe tu waliotupa verse mtumishi wa Mungu atakula madhabauni, pamoja na mawakala wao.
Kaulize Mkombozi bank ni lini imefanya charity kama wafanyazo bank nyingine? Uliza shule kama Marian Seminary imechukuwa yatima wangapi wanaosomeshwa hapo bure?
Mungu hayupo na dini ni utapeli.Dini ni utapeli au kuna matapeli kupitia mgongo wa dini?
Una uhakika gani hakuna Mungu?
Kwahiyo Mungu anataka pesa zangu? Kwani Mungu aliumba pesa?Wewe umetumwa..mamluki..tushakujua..kama unaona mzigo kutoa sadaka..nenda huko kwa wasiotoa uwe na amani ya moyo..mkristo wa kweli wawezi lialia kama wewe..mana kutoa ni upendo na hakuna aliyeshikiwa bunduki ili atoe.
Mungu katubariki kwa mengi sana..sadaka haiwezi fikia upendo wake kwetu..hata tutoe nini.?ukiona kutoa sadaka na zaka mzigo..uchaguzi ni wako hakuna mtu amekulazimisha uwe kristo.
Shindwa shetani wewe.
#MaendeleoHayanaChama
Sitetei kitu bro. Ninachosema kama unaona kanisa fulani halikufai haufungwi kamba. Hama nenda unakoona panafaa badala ya kulalama. Kama yote hayafai kasajili la kwako uende kwa namna unaona inafaa.Sorry bro! Unachojaribu kukitetea hapa ni kipi?
Hiyo ni imani yako tu kwamba unaamini hakuna Mungu au una uhakika gani kwamba ni kweli hakuna huyo Mungu anayesemwa kuwa yupo?Mungu hayupo na dini ni utapeli.
Mungu wa Biblia na Quran kitu anachopenda ni kuhamasisha mauaji ya kimbari na kuchukua watu utumwani. Sasa unamuaminije Mungu kama huyo.
Ila Mungu hayupo hamna kitu kinaitwa Mungu
InaumaKwani usipozikwa na kanisa inakuharibia nini wewe uliyekufa??
Nina uhakika hakuna MunguHiyo ni imani yako tu kwamba unaamini hakuna Mungu au una uhakika gani kwamba ni kweli hakuna huyo Mungu anayesemwa kuwa yupo?
Hebu eleza kwa kina.
Ni yapi yaliyokupa uhakika?Nina uhakika hakuna Mungu
Theory of evolution na kupitia vitabu vya dini nimeona habari za Mungu ni hadithi za kutungaNi yapi yaliyokupa uhakika?
Tatizo kanisa Lina vitega uchumi vingi na wafanyakwzi wachache Ila bdo linataka pesa kwenye mifuko ya watuNadhani mtoa mada bado uko enzi za wafadhili wa kanisa. Kwasasa kanisa linajiendesha,kama ufadhili unapatikana kwa bahati sana. Hivyo usipotoa unasababisha anguko la kanisa. Tutoe,tujenge vyakwetu. Wakati wakufanyiwa haupo tena.
Huwezi kuwaona wakilalamika maana walishaacha siku nyingi kwenda makanisani. Tembea nchi karibu nyingi za ulaya utashangaa makanisa ni museums na mengine yamegeuzwa bar na nyumba za starehe au ni maeneo tu ya watu kupumzika. Na hata yale machache ambayo yapo active, ukienda humo utakuta asilimia karibu 80 ya waumini ni waafrika!ukiangalia hizo dini zipo sehemu kubwa tu duniani ila hatuoni wengine kulalamika
Nazungumzia uwepo wa hizo imani za dini na sio mahudhurio ya kanisani, labda ulete takwimu zenye kuonesha kwamba huko ulaya sasa watu wengi hawana dini kama North korea na kwengineko ambako watu hawana dini.Huwezi kuwaona wakilalamika maana walishaacha siku nyingi kwenda makanisani. Tembea nchi karibu nyingi za ulaya utashangaa makanisa ni museums na mengine yamegeuzwa bar na nyumba za starehe au ni maeneo tu ya watu kupumzika. Na hata yale machache ambayo yapo active, ukienda humo utakuta asilimia karibu 80 ya waumini ni waafrika!
Kwanza kabisa, ukijenga kanisa hujajenga "chakwetu". Kanisa sio la kwenu hata kama mtalijenga nyie.Nadhani mtoa mada bado uko enzi za wafadhili wa kanisa. Kwasasa kanisa linajiendesha,kama ufadhili unapatikana kwa bahati sana. Hivyo usipotoa unasababisha anguko la kanisa. Tutoe,tujenge vyakwetu. Wakati wakufanyiwa haupo tena.