kirusi cha ukimwi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 799
- 646
DNA INAHUSIKA KWa aSilimia 1000Nilikuwa sielewi why Wema,lakini siku nilipomsikia mama yake anaongea,nikapata majibu there is nothing she can do maana haya mambo yake ni hereditary toka kwa mum
Bwana we unajifanya hujui mafanikio ya wema! Ok ok aliwahi kuwa na nyumba ya million 400, anaendesha range ya million 200, ana Duka la lipstick & perfumes la billion 16. Amedate celebrity wa kibongo wengi na wa Namibia mmoja, ana uwezo wa kumpandisha mwanaume kimafanikio kutoka kuwa star wa kitaifa hadi star wa international [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] . Mi naishia hapa. Cc. warumi akija ataendelea kukutajia mafanikio yake.Ana mafanikio gani huyo binti?
Kuvuliwa kofuli na watu woteAna mafanikio gani huyo binti?
Happy Valentine day nipo busy mkuu namalizia KAZI niliyoitiwa
Mafanikio ni kuwa na huyu leo yule kesho na mlolongo unaendelea na media zinapata wasomaji zaidi beside that ni mwendelezo wa maisha yale yale ya mwaka juzi jana leo na kesho . Interesting in deed!Ana mafanikio gani huyo binti?
chinga umerudi? nafurahi wambea wenzangu mmerudiHuyu bado hajapata dume la mbegu,hawa mabishoo wa instagram na bongo fleva wanamgusa gusa tu kibrazameni,akipata mtu akampiga miti kisawa sawa mbona atatulia tu...ajaribu radha za kimakonde sasa huo utoto wake wote utakwisha.
Wema njoo kwa chinga ufundishwe ukubwa.
ameigiza movie na ma staa wakubwa kama vanvicker, movie ambayo imegharimu milion 900 , japokua hyo movie mpaka leo hatujaisikia, pia aliwahi mleta omotola jalande ekehinde kwenye uzinduz wa movie yake ya super star ambayo mpaka ninavyoandika haijajulikana itatoka liniBwana we unajifanya hujui mafanikio ya wema! Ok ok aliwahi kuwa na nyumba ya million 400, anaendesha range ya million 200, ana Duka la lipstick & perfumes la billion 16. Amedate celebrity wa kibongo wengi na wa Namibia mmoja, ana uwezo wa kumpandisha mwanaume kimafanikio kutoka kuwa star wa kitaifa hadi star wa international [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] . Mi naishia hapa. Cc. warumi akija ataendelea kukutajia mafanikio yake.
sasa kama wema mwenyewe anapenda kuandikwa afanyaje? mwache amuandike mpaka page ishirin, si ndo maisha aliyoyachagua, mtu mpaka unaenda kuhonga magazeti yakuandike unadhan kuna mtu apoYaani umeandika uzi mrefu hivi kwa ajili ya Wema? Unahitaji maombi
Acheni maskhara mjue huyu binti kuna kitu si cha kawaida kimemtokea hata replies nyingi za hapa ni za kumponda kumbeza na kumdhihakiAende kuishi kijiji cha nakawale,kijiji cha mwisho kabla ya kuingia msumbiji,mtwara huko
Ama kweli! Wabunge watammiss Wema. Angalishinda viti maalum!!!! Sijui ingekuaje Dodoma.View attachment 323057Ameshasemwa sana kwa ubaya ameshaandikwa sana kwa ubaya ameshakuwa na kashfa nyingi...ni wakati sasa wa kumwangalia kwa jicho la tatu
Hatuwezi kumweka kwenye kundi la malaika wa kifo kwakuwa wapenzi wake wengi bado wako hai. Ni binti mwenye nyota kali ya mafanikio kwake na kwa wapenzi wake pia na nyota yake hii ilichanua mapema kabisa hata akapata mafanikio mengi kwa muda mfupi na akiwa bado mdogo
Nyota yake bado inawaka lakini imechezewa imefanyiwa kitu kibaya Wema wa bahati sasa ni wema wa mikosi nuksi na balaa
Habari zake za kuandikwa kila siku kwa mabaya zimemfanya achukiwe na wengi bila kufikiri zaidi..nilikuwa mmojawapo na nikasema ni utoto akikua ataacha...mabinti wengi wamepitia hiki kipindi hata hapa JF tunao ...Wema amejijengea maadui wengi kuliko marafiki, Wema amekuwa centre ya habari kwa lolote afanyalo au linalomtokea iwe kwa ubaya au kwa wema
Lakini hebu tujirudi na kujitafakari upya...tabia ya Wema ya sasa ina mahusiano ya karibu na makuzi yake na hasa malezi ya mama! Je tuna la kujifunza hapa???tukumbuke na sisi ni wazazi
Wema wa sasa anaporomoka kuanzia mwili shepu mahusiano nk nk...wengine wengi wamepitia haya lakini yakapita yakaisha, ya Wema hayaishi kila uchao tatizo liko wapi? Je haters wake wamefanya yao kwenye ulimwengu wa giza?
Wema anahitaji faraja ya kila mmoja sasa kila dakika na kila sekunde pamoja na mapungufu yake yote lakini bado ni binadamu kama sisi mwenye hisia maumivu na roho ya nyama ASAIDIWE
Google wanahusika sikuitengeneza mimi zipo kibao kule