Kuna kitu kibaya Wema Sepetu kafanyiwa(mtazamo wa jicho la tatu)

Kuna kitu kibaya Wema Sepetu kafanyiwa(mtazamo wa jicho la tatu)

Tamthilia ya wema muda wote ipo online yani ye anaigiza muda wote wa maisha yake na kama ni tamthilia itakuwa kama ISIDINGO , uuuh uuh ngoja nimtume dogo akaniletee series ya kikorea bhana maana nshachoka
 
Ana mafanikio gani huyo binti?
Bwana we unajifanya hujui mafanikio ya wema! Ok ok aliwahi kuwa na nyumba ya million 400, anaendesha range ya million 200, ana Duka la lipstick & perfumes la billion 16. Amedate celebrity wa kibongo wengi na wa Namibia mmoja, ana uwezo wa kumpandisha mwanaume kimafanikio kutoka kuwa star wa kitaifa hadi star wa international [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] . Mi naishia hapa. Cc. warumi akija ataendelea kukutajia mafanikio yake.
 
Yaani umeandika uzi mrefu hivi kwa ajili ya Wema? Unahitaji maombi
 
Anajitafutia yeye mwenyewe kuchukiwa coz anapenda sana kiki za kishamba wema anapenda kuona muda wote wanamuongelea yeye tu midomoni wangapi hawana watoto mbn hawatukanwi km yeye anavyotukanwa deileeee wolper hana mtoto jide hana mtoto lkn walaa hawana habari , lkn sasa yeye toka 2006 mpk sasa mmmh muhimu ajirekebisha
 
Kwa maneno machafu ya mama ake mzazi anayotoa hadharani akwa discovered by Mange Kimambi kwenye ulimwengu wa umiss na u star, hapa tutapata mtu wa aina gani zaidi ya huyu wema tumjuae leo?
 
Ana mafanikio gani huyo binti?
Mafanikio ni kuwa na huyu leo yule kesho na mlolongo unaendelea na media zinapata wasomaji zaidi beside that ni mwendelezo wa maisha yale yale ya mwaka juzi jana leo na kesho . Interesting in deed!
 
Huyu bado hajapata dume la mbegu,hawa mabishoo wa instagram na bongo fleva wanamgusa gusa tu kibrazameni,akipata mtu akampiga miti kisawa sawa mbona atatulia tu...ajaribu radha za kimakonde sasa huo utoto wake wote utakwisha.

Wema njoo kwa chinga ufundishwe ukubwa.
chinga umerudi? nafurahi wambea wenzangu mmerudi
 
Bwana we unajifanya hujui mafanikio ya wema! Ok ok aliwahi kuwa na nyumba ya million 400, anaendesha range ya million 200, ana Duka la lipstick & perfumes la billion 16. Amedate celebrity wa kibongo wengi na wa Namibia mmoja, ana uwezo wa kumpandisha mwanaume kimafanikio kutoka kuwa star wa kitaifa hadi star wa international [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] . Mi naishia hapa. Cc. warumi akija ataendelea kukutajia mafanikio yake.
ameigiza movie na ma staa wakubwa kama vanvicker, movie ambayo imegharimu milion 900 , japokua hyo movie mpaka leo hatujaisikia, pia aliwahi mleta omotola jalande ekehinde kwenye uzinduz wa movie yake ya super star ambayo mpaka ninavyoandika haijajulikana itatoka lini
 
Aende kuishi kijiji cha nakawale,kijiji cha mwisho kabla ya kuingia msumbiji,mtwara huko
 
Aende kuishi kijiji cha nakawale,kijiji cha mwisho kabla ya kuingia msumbiji,mtwara huko
Acheni maskhara mjue huyu binti kuna kitu si cha kawaida kimemtokea hata replies nyingi za hapa ni za kumponda kumbeza na kumdhihaki
It's a burden too heavy to carry....mimi naliona tatizo lakini wengine hawalioni kuna nini hapa????
 
View attachment 323057Ameshasemwa sana kwa ubaya ameshaandikwa sana kwa ubaya ameshakuwa na kashfa nyingi...ni wakati sasa wa kumwangalia kwa jicho la tatu
Hatuwezi kumweka kwenye kundi la malaika wa kifo kwakuwa wapenzi wake wengi bado wako hai. Ni binti mwenye nyota kali ya mafanikio kwake na kwa wapenzi wake pia na nyota yake hii ilichanua mapema kabisa hata akapata mafanikio mengi kwa muda mfupi na akiwa bado mdogo
Nyota yake bado inawaka lakini imechezewa imefanyiwa kitu kibaya Wema wa bahati sasa ni wema wa mikosi nuksi na balaa
Habari zake za kuandikwa kila siku kwa mabaya zimemfanya achukiwe na wengi bila kufikiri zaidi..nilikuwa mmojawapo na nikasema ni utoto akikua ataacha...mabinti wengi wamepitia hiki kipindi hata hapa JF tunao ...Wema amejijengea maadui wengi kuliko marafiki, Wema amekuwa centre ya habari kwa lolote afanyalo au linalomtokea iwe kwa ubaya au kwa wema
Lakini hebu tujirudi na kujitafakari upya...tabia ya Wema ya sasa ina mahusiano ya karibu na makuzi yake na hasa malezi ya mama! Je tuna la kujifunza hapa???tukumbuke na sisi ni wazazi
Wema wa sasa anaporomoka kuanzia mwili shepu mahusiano nk nk...wengine wengi wamepitia haya lakini yakapita yakaisha, ya Wema hayaishi kila uchao tatizo liko wapi? Je haters wake wamefanya yao kwenye ulimwengu wa giza?
Wema anahitaji faraja ya kila mmoja sasa kila dakika na kila sekunde pamoja na mapungufu yake yote lakini bado ni binadamu kama sisi mwenye hisia maumivu na roho ya nyama ASAIDIWE
Ama kweli! Wabunge watammiss Wema. Angalishinda viti maalum!!!! Sijui ingekuaje Dodoma.
 
Hivi hiyo picha ya makalio Ni wema au alieditiwa Tu,wema zamani alikua chombo sasa hivii sio yule WA zamanii kachoka
 
Back
Top Bottom