Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maybe kafanyiwa ubaya lakini pia ni lazima tukumbuke kuna msemo "mchawi mzuri ni NAFSI yako mwenyewe".
Hata mie nilisikia kuna kipindi alikiri kuwa hana uwezo wa kubeba mimba. Sijui kwenye kipindi cha mkasi au mahali pengine ila ilikuwa ni live interview...
Mkuu nakubaliana na mtazamo wako. Lakini kaa ufahamu kua wema anapenda sana tena sana kukaa kwenye Headlines zA magazeti. Na sio mtazamo wangu salama jabir aliwahi alimuuliza na Wema akakiri kua anapenda kuandikwa. Japo sometimes anaumia. So nahisi kwenye swala LA kupamba habari kwake sio tatizo kabisa. Tatizo lake nadhani linaweza kua ni mambo Binafsi ya kimaisha anayopitia especially love lifeAmeshasemwa sana kwa ubaya ameshaandikwa sana kwa ubaya ameshakuwa na kashfa nyingi...ni wakati sasa wa kumwangalia kwa jicho la tatu.
Hatuwezi kumweka kwenye kundi la malaika wa kifo kwakuwa wapenzi wake wengi bado wako hai. Ni binti mwenye nyota kali ya mafanikio kwake na kwa wapenzi wake pia na nyota yake hii ilichanua mapema kabisa hata akapata mafanikio mengi kwa muda mfupi na akiwa bado mdogo.
Nyota yake bado inawaka lakini imechezewa imefanyiwa kitu kibaya Wema wa bahati sasa ni wema wa mikosi nuksi na balaa.
Habari zake za kuandikwa kila siku kwa mabaya zimemfanya achukiwe na wengi bila kufikiri zaidi..nilikuwa mmojawapo na nikasema ni utoto akikua ataacha...mabinti wengi wamepitia hiki kipindi hata hapa JF tunao.
Wema amejijengea maadui wengi kuliko marafiki, Wema amekuwa centre ya habari kwa lolote afanyalo au linalomtokea iwe kwa ubaya au kwa wema
Lakini hebu tujirudi na kujitafakari upya...
Tabia ya Wema ya sasa ina mahusiano ya karibu na makuzi yake na hasa malezi ya mama! Je tuna la kujifunza hapa?? Tukumbuke na sisi ni wazazi.
Wema wa sasa anaporomoka kuanzia mwili shepu mahusiano nk nk...wengine wengi wamepitia haya lakini yakapita yakaisha, ya Wema hayaishi kila uchao tatizo liko wapi? Je haters wake wamefanya yao kwenye ulimwengu wa giza?
Wema anahitaji faraja ya kila mmoja sasa, kila dakika na kila sekunde pamoja na mapungufu yake yote lakini bado ni binadamu kama sisi mwenye hisia maumivu na roho ya nyama.
ASAIDIWE!
Mungu amjaalie tu basi apate japo mtoto mtoto mmoja...! She is dying for this. ..Mkuu nakubaliana na mtazamo wako. Lakini kaa ufahamu kua wema anapenda sana tena sana kukaa kwenye Headlines zA magazeti. Na sio mtazamo wangu salama jabir aliwahi alimuuliza na Wema akakiri kua anapenda kuandikwa. Japo sometimes anaumia. So nahisi kwenye swala LA kupamba habari kwake sio tatizo kabisa. Tatizo lake nadhani linaweza kua ni mambo Binafsi ya kimaisha anayopitia especially love life
Ameshasemwa sana kwa ubaya ameshaandikwa sana kwa ubaya ameshakuwa na kashfa nyingi...ni wakati sasa wa kumwangalia kwa jicho la tatu.
Hatuwezi kumweka kwenye kundi la malaika wa kifo kwakuwa wapenzi wake wengi bado wako hai. Ni binti mwenye nyota kali ya mafanikio kwake na kwa wapenzi wake pia na nyota yake hii ilichanua mapema kabisa hata akapata mafanikio mengi kwa muda mfupi na akiwa bado mdogo.
Nyota yake bado inawaka lakini imechezewa imefanyiwa kitu kibaya Wema wa bahati sasa ni wema wa mikosi nuksi na balaa.
Habari zake za kuandikwa kila siku kwa mabaya zimemfanya achukiwe na wengi bila kufikiri zaidi..nilikuwa mmojawapo na nikasema ni utoto akikua ataacha...mabinti wengi wamepitia hiki kipindi hata hapa JF tunao.
Wema amejijengea maadui wengi kuliko marafiki, Wema amekuwa centre ya habari kwa lolote afanyalo au linalomtokea iwe kwa ubaya au kwa wema
Lakini hebu tujirudi na kujitafakari upya...
Tabia ya Wema ya sasa ina mahusiano ya karibu na makuzi yake na hasa malezi ya mama! Je tuna la kujifunza hapa?? Tukumbuke na sisi ni wazazi.
Wema wa sasa anaporomoka kuanzia mwili shepu mahusiano nk nk...wengine wengi wamepitia haya lakini yakapita yakaisha, ya Wema hayaishi kila uchao tatizo liko wapi? Je haters wake wamefanya yao kwenye ulimwengu wa giza?
Wema anahitaji faraja ya kila mmoja sasa, kila dakika na kila sekunde pamoja na mapungufu yake yote lakini bado ni binadamu kama sisi mwenye hisia maumivu na roho ya nyama.
ASAIDIWE!
MkuuMungu amjaalie tu basi apate japo mtoto mtoto mmoja...! She is dying for this. ..
Kama ulivyo andika pasco kama ni upendo wapo die harder fans wake kwa hiyo tutasema anao upendo na nguvu pia ila tatizo anachimba shimo kwa mikono yake mwenyewe na kwa miguu yake mwenyewe anajitumbukiza.Ukijiweka katika nafasi ya kaka au baba kwa wema ni lazima kama binadamu uumie but why kila siku awe yeye tu?kuna mamiss wangapi wamepita ambao japo hatuwezi kujiridhisha kuwa hawana viscandal scandal ila hawa make headlines kama yeye kwanini?hajitambui?au anapenda?au watu wanamtumia?Mkuu
mshana jr,
you have a point, na kiukweli nimeguswa!, huyu dada 'has powers', she uses her powers and misuses them kwa kujijua au bila kujijua!, she needs help na sio ridicule!.
Mungu amsaidie!.
Pasco
Kwa wasiojua kuhusu powers, karibuni mnitembelee mitaa hii
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila kujiua!.
mshana jr unaniangusha mkuu,hivi wewe huyu wakuitwa wema umemjua baada ya hii mimba feki au ??? unawezaje kumsaidia kuomba dua mtu aliyekwisha kumkashifu huyo mungu unayemuombea huruma yake ??? ( maana unaposema mtoto fulani m'baya ni kuingilia uumbaji wake mungu hata kama una mgomvi na wazazi wake bado mtoto hausiki na ugomvi wenu ) hayo maneno aliwahi kusema wema.Mungu amjaalie tu basi apate japo mtoto mtoto mmoja...! She is dying for this. ..
Wema ana malipo yake kwenye hilo na atalipwa accordingly lakini sisi kama binadamu tuna jukumu la kuwaombea watu kama hawa kwakuwa nasi tuna mapungufu yetu na tunaombewa na wenginemshana jr unaniangusha mkuu,hivi wewe huyu wakuitwa wema umemjua baada ya hii mimba feki au ??? unawezaje kumsaidia kuomba dua mtu aliyekwisha kumkashifu huyo mungu unayemuombea huruma yake ??? ( maana unaposema mtoto fulani m'baya ni kuingilia uumbaji wake mungu hata kama una mgomvi na wazazi wake bado mtoto hausiki na ugomvi wenu ) hayo maneno aliwahi kusema wema.