Kuna kitu kinanishangaza. Kwanini watu waliotekwa kisha wakafariki inalazimishwa wazikwe haraka?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Huu mchezo wa utekaji na kwa mtindo huu unazidi kuwa na nguvu sana.

Nilishuudia mkoa X walitekwa watu zaidi ya wanne.Mmoja alipatikana kijiji cha mbele akiwa amefariki ila wanakijiji walipotoa taarifa polisi na polisi ikaamuru kuzikwa haraka bila kuuliza lolote.

Ndugu wa marehemu walipojaribu kufatilia sana ila walishangaa majibu ya polisi kuwa marehemu walimkuta na simu ila kwa nini waliamuru kuzikwa bila kujua ni ndugu wa wanani.

Haya nayo naona pale bagamoyo yana fanyika.
 
Ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni...

Mc pilipili unamfahamu..?
 
Huu mchezo wa utekaji na kwa mtindo huu unazidi kuwa na nguvu sana.

Nilishuudia mkoa X walitekwa watu zaidi ya wanne.Mmoja alipatikana kijiji cha mbele akiwa amefariki ila wanakijiji walipotoa taarifa polisi na polisi ikaamuru kuzikwa haraka bila kuuliza lolote.

Ndugu wa marehemu walipojaribu kufatilia sana ila walishangaa majibu ya polisi kuwa marehemu walimkuta na simu ila kwa nini waliamuru kuzikwa bila kujua ni ndugu wa wanani.

Haya nayo naona pale bagamoyo yana fanyika.
Utekaji na mauaji yote ya siku hizi asilimia 100 wanahusika wenyewe hao hao wanaokataa mwili usichunguzwe
 
Back
Top Bottom