kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
Sina haja ya kuelezea UDIKITEA ni nini, ila kwa kifupi tu,"ni utawala na amri za watawala na sheria utake usitake, kifamilia, nimegundua familia ambazo wazazi ni wakali{ukali wa kimaadili}, ndio wanaozalisha wasomi wakubwa, viongozi wa dini, wafanyabiashara wakubwa wenye nidhamu ya pesa, wakulima na wafugaji bora tofauti na familia zinazofuata DEMOKRASIA{hamna ukali wa kimaadili}, familia hizi ndo zile unakuta mtoto anatinga shule na mchuma wa nguvu, mtoto anakuwa mtoto shuleni, boy/girl friends kutambulishwa kwa wazazi haina noma!!!!!, hata kama watoto wapo sekondari, watoto wanarudi nyumbani muda wowote hata kama usiku mkubwa matokeo yake mimba za mfululizo, mateja na wakabaji, machangudoa na mashoga!!!!!
Tukija kwenye kazi za KITAIFA, MATAIFA yanayoongozwa kwa mkono wa chuma kiukweli raia wao wamenyooka kimaadili mnakumbuka mzee MAGUFULI, mambo ya NGADA yalishuhulikiwa kisawasawa, alizuia vilainishi vya mashoga {alipiga marufuku}, pombe zilikua ni kuanzia saa za jioni baada ya kazi, watoto waliokuwa wakipata mimba shule ilikuwa stop na watoto walikuwa waoga kuwa mahusiano, na walisababisha mimba walikoma, mambo ya shisha ilikuwa marafuku, nisiongee mambo mengi, linganisha maisha ya raia wa KOREA YA KASKAZINI, IRAN, RUSSIA yalinganisha mataifa hayo na nchi za KIDEMOKRASIA kama USA, UK, nakadhalika.....
Hizi nchi za RUSSIA na wenzake hauwezi kusikia mambo ya kipuuzi kama ndoa za jinsia moja n.k........kwa kifupi MADIKTETA ni watu wa MUNGU sana tofauti na upande wa pili, ukifuatilia sana, hebu linganisha MTUKUFU MUNGU na HAYAWANI SHETANI.......kwa kifupi MUNGU anaenda kinyume na DEMOKRASIA, ametoa amri zake, ukifuata unaenda peponi usipozifuata balaa liaanzia hapa DUNIANI mpaka AKHERA.....ukiua ni kifo, ukizini ni maradhi ya zinaa mpaka kifo, ukiiba ukishikwa ni kifo, wakati SHETANI, ukiiba poa, ukiwa shoga fresh, ukila ngada fresh tu yaani.......