Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!

Kama kupiga kura ni kukamilisha ratiba tu basi hata wanaotaka kugombea urais wagombee kutimiza ratiba. Kama ishu hao wengine wasigombee ili wasipoteze muda na hela zao basi na Tume ya Uchaguzi Imtangaze kabisa Samia kuanzia sasa kuwa ndiye Rais 2025 -2030 ili tuokoe mamia ya mabilioni ya kodi zetu.
 
Kumbe hata ukijua kizungu Kuelewa ni sufuri. Huoni kaongea raisi mwenyewe kwenye hiyo video kwamba yeye ni mpaka 28 29 sasa hapo shame on nani? Wewe au Mleta mada.?
 
Unajipa mzigo kichwani 😂😂

Haya maneno mlianza nayo lini na Leo ni lini na Bado yupo? Mtasubiri sana
 
Naona siku inakaribia ambapo amani na utulivu unaoimbwa kwa miaka mingi vinatenda kutoweka kwa sababu ya uchu wa madaraka na wizi wa kura wa viongozi wa CCM ili waendelee kutuibia rasilimali zetu
 
Rais Samia kama anataka kugombea urais 2025, ana haki ya kuongea positively kwamba atakuwa rais.

Kama ambavyo mgombea mwingine yeyote anaweza kuongea hivyo. Tena hata zaidi, kwa sababu yeye ni rais wa sasa.

Tena kaongea vizuri kabisa kwamba 2028-29 atakuwa anakaribia kurudi kwao Kizimkazi, anaondoa minong'ono kwamba atataka kuendelea na urais baada ya 2030.

Tatizo ni nini?
 
Mimi baada ya kuisikia hiyo kauli ya kwamba "mpaka 2028 nikijiandaa kwenda kupimzika kizimkazi "nilishituka sana inaonesha ameshahakishiwa
 
Huy
U Rais namchukia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…